-->

KWANINI WANAWAKE WANAONGOZA KWA UONGO KWENYE MAPENZI KULIKO WANAUMEπŸ€” K

wanza nieleweke;
Uongo wa Mwanaume ni kutengeneza sababu ya kumpata Mwanamke na uongo huo unaweza usidumuπŸ˜‚
Ila uongo wa Mwanamke unatokana na kutoamini Mahusiano aliyopo, lakini pia inawezekana ni kutokana na elimu aloipata kwenye mahusiano aliyopitia, Muda Mwingine inaweza kuwa AFICHALO LINA MAANA KULIKO LILILOWAZI hata kumpelekea kujifanya MTAKATIFUπŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo ndiye Mwanamke, Kwa sababu hizo unabaini wazi kwenye Mapenzi Mwanamke ndiye Muongo kuliko hata Mwanaume kwani kwa uhalisia WANAWAKE NI WABINAFSIπŸ’―
Yaani kama ukikutana na Mwanamke akakuambia namba ya wanaume wake huyo MBINGUNI ANAKWENDAπŸ˜‚
Maana wanawake huogopa kusema hata akitongozwa barabarani kwa kudhania ataharibu uhusiano uliopo, lakini unaweza kuta amekusaliti ila anajiliza na kuapia mpaka kulala na baba yake ili tu akuaminishe😜
Kwenye USALITI Mwanamke anaweza kuwa wa kwanza kwa sababu moja tu;
β€’ WANAUME KULALA NA MWANAMKE WA MWINGINE NI RAHISI ZAIDI KULIKO WANAWAKE KWANI MWANAMKE KWA UBINAFSI WAKE HUTAKA MWANAUME WA PEKE YAKE JAPO YEYE ANA MWINGINE πŸ’―
Hivyo kila Mwanaume na aishi na Mwanamke kwa akili hili si agizo langu ila agizo la MUNGU πŸ™
Kumuamini Mwanamke ni kama kujitwika chungu cha moto wallah kama usipovumilia waweza yeyusha ubongo🧠
Bwana raha ya MAPENZI misukosuko huko ndiko zitokapo chemi chemi za UPENDO πŸ’ maana PENZI lisilo na MIGOGORO haliwezi kuleta FURAHA NA AMANI YA KUDUMU kwani ili kujua unapendwa ni pamoja na Mtu kulilia PENZI LAKO πŸ’―
Sasa anzisheni ugomvi usokuwa na mashiko mseme Elista kasema wallah nitawaruka πŸ˜‚πŸ˜‚
#Elista_kasema_ila_sio_sheria πŸ”¨
Image may contain: 2 people, people sitting
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright Β© 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU