-->
Showing posts with label AFYA. Show all posts
Showing posts with label AFYA. Show all posts

Je, unapenda kuwa na makalio makubwa bil kutumia dawa yoyote?

eje?
Image may contain: 1 person

Kwa wasichana ambao wanaona kuwa maisha hayawezi kuwa matamu bila kunenepesha makalio, mapaja na matiti yao, ni busara kufanya hivyo kwa njia za asili zisizokuwa na madhara kwa afya zao. Sehemu hizi za mwili zinaweza kunenepeshwa kwa kutumia sayansi ya lishe bora, kunywa maji mengi na mazoezi ya mwili.
Kula vyakula vyenye protini ya kutosha na vyakula vyenye asili ya mimea yaani mbogamboga, matunda, nafaka zisizokobolewa na mafuta yenye asili ya mimea pamoja na kupunguza sukari na chumvi kwenye chakula, husaidia sana katika uimarishaji na unenepeshaji wa misuli ya makalio, matiti na mapaja. Kuepuka ulaji wa nyama yenye mafuta mengi au mazao ya maziwa kama vile siagi na samli pia husaidia.
Mazoezi ya kila siku (asubuhi na jioni) ya kupunguza mafuta katika nyama za tumbo, kufanya kiuno kuwa chembamba na kuimarisha misuli ya mapaja pamoja na makalio ni njia bora ya kumpatia msichana umbo la kupendeza na kunenepesha au kutunisha makalio bila madhara ya kiafya.
Baadhi ya watafiti na wataalamu wa mambo ya urembo wanadai kuwa, kiuno cha msichana au mwanamke chenye uwiano wa 70% ya mzunguko wa mapaja yake (hips circumference) au kipimo cha 0.7 WHR (waist to hip ratio) kinaonyesha afya nzuri ya msichana au mwanamke na kinafanya makalio na mapaja ya msichana au mwanake kuonekana kuwa makubwa.
Mazoezi yanayosaidia katika jitihada za kufikia lengo hili kwa kutumia njia za asili na kwa usalama huku yakiimarisha afya ni pamoja na kuruka juu, kupanda ngazi za nyumba (stair climbing), kuinama, kuchuchumaa pamoja na kuminya au kuchua misuli ya makalio (massage) kila siku.
Ili zoezi la kuchuchumaa lilete matokeo yanayokusudiwa fuata kanuni zifuatazo: Kwanza tambua kuwa lengo lako ni kubadilisha muonekano wa umbo lako kwa njia salama, hivyo basi ni lazima ujitume kufikia lengo hilo. Anza mazoezi ya kusimama wakati miguu yako ikiwa imeachana kiasi cha upana wa kifua chako kisha taratibu kunja miguu yako kwenye magoti ili kuchuchumaa hadi mapaja yawe sambamba na sakafu au ardhi kwa dakika kadhaa kisha panda juu taratibu ili usimame kama mwanzo. Fanya zoezi hili angalau mara ishirini kabla hujapumzika au kubadilisha mtindo wa zoezi.
Fanya mtindo mwingine wa zoezi la kuchuchumaa wakati miguu ikiwa imepishana, weka mguu mmoja mbele kiasi cha umbali wa hatua moja na mguu mwingine uwe nyuma kisha chuchumaa kwa kukunja magoti yote, mguu wa mbele ujikunje na kutengeneza kona yenye 90° digrii na mguu wa nyuma uwe chini kiasi cha nchi 2 hivi juu ya sakafu. Kisha simama na kubadilisha mguu uliokuwa nyuma uwe mbele na kurudiarudia zoezi mara kwa mara.
Zoezi jingine ni lile la kuweka magoti yote na viganja vya mikono yote sakafuni kama mtu anayetaka kusujudu, kisha inua mguu mmoja kwa nyuma wakati goti moja na mikono ikiwa sakafuni. Badilishabadilisha mguu wa kuinua na fanya hivyo kwa dakika 20 kila siku asubuhi na jioni. Lakini pia unaweza kusimama wima na kunyoosha mikono yako yote mbele usawa wa kifua chako kisha ishushe taratibu hadi uguse vidole vya miguu yako kwa mikono yote miwili. Baada ya hapo inuka taratibu hadi usimame wima kama mwanzo na urudierudie zoezi hili kwa dakika 20.
Zoezi jingine linaloweza kusaidia ni lile la kuchua au kiminyaminya misuli ya makalio (massage) kwa dakika 30, asubuhi na jioni kila siku. Zoezi hili huimarisha misuli na kuongeza kiasi cha mzunguko wa damu katika nyama za makalio. Zoezi la kuchua misuli pia linaweza kusaidia katika utunishaji wa matiti kwa wale wanaohitaji matiti makubwa yaliyojaa.
Fanya massage ya matiti kwa kutumia vikanja vyako kila siku asubuhi na jioni na kuchezea chezea chuchu kwa dakika 30, hii itaongeza mzunguko wa damu katika matiti na kupunguza damu ya hedhi lakini pia itasababisha ongezeko la kichocheo cha prolactin na kuimarisha misuli ya matiti. Ili mazoezi haya yalete matokeo yaliyokusudiwa ni lazima yawe endelevu na yaende sambamba na kanuni zingine za afya na urembo kama vile lishe bora, kunywa maji ya kutosha na kuwa na mtazamo chanya katika maisha.
Share:

πŸ‘„πŸ‘„ JINSI YA KUKANDA (KUMASSAGE)SEHEMU ZENYE VIPELE VYA KUMNYEGESHA BOY WAKO πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„

lameck mathew (@lameck_mathew) | Twitter
Vipele vya kumyegesha mwanaume viko vingi na sehemu tofauti na hutegemea zaidi na mwanaume mwenyewe na vilevile jinsi wewe utakavyo vitumia/chezea ili kumfurahisha mwenzi wako au "kumnyegesha" (turn on).
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Pamoja na utofauti wao wanaume kwa ujumla wanapenda sana kukandwa sehemu zenye vipele vya nyege ambavyo ni juu ya mgongo, kiunoni, makalio yao, miguu(hasa vikanyagio) sehemu ya nyuma ya mapaja, ile sehemu ya ndani ya mapaja bila kusahau Mapumb* na mb00
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Kama mara kwa mara unamkanda a.k.a "massage" mpenzi wako(mwanaume) lakini hata siku moja hajawahi kunyegeka (na wewe ungependa kumnyegesha kwa massage) basi jaribu hii na ninakuhakikishia mambo yatakuwa mazuri kabisa.
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Mlaze kifudi-fudi.....kisha mkalie kiunoni na anza kufanyia kazi sehemu ya kichwa (pembeni kule karibu na macho) huku ukimpa maneno mazuri yakumfanya asahau matatizo yaliyojitokeza kazini au kwenye shughuli zake nyingine za kuendesha kimaisha na kuhamishia akili yake hapo alipo.
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Hamishia viganja vyako taratibu sehemu ya shingo...usikae sana hapa.....then hamia mabegani namoja kwa moja mgononi tumia muda wa dk 20 hivi kumkanda mabega na mgongo na wakati huu utapaswa kujiinua kidogo ili uweze kupitisha viganja vyako kiunoni).
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Ukimaliza jiondoe hapo juu yake na kisha jiweke katikati ya migu-u yake na ipanua migu-u hiyo ili upate nafasi ya kufanya shughuli yako. Kwa kutumia mafuta maalum kwa ajili ya "massage" au unaweza kutumia baby oli au lotion yeyote yenye asili ya mafuta (yenye asili ya maji hukauka haraka).
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Mwagia kiasi mafuta yao juu ya makalio yake na pitisha viganja vyako kama vile unampaka mtoto (sio kwa nguvu) ukisha eneza sehemu nzima sasa endelea kumkanda makalio yake taratibu na tumia kama dk15-20 alafu shuka taratibu kwenye sehemu ya nyuma ya mapaja yake fanyia kazi paja moja baada ya lingine.
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Hongera kwa kumaliza hatua hiyo.....sasa tumia mikono yako laini yenye mafuta kupenyeza pale yalipo mapumb* (akiwa kalalia tumo utayaona) hivyo yakande taratibu usiyavute ikiwa hayajajitokeza sana kwa nyuma....
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Kwa kufanya hivyo kutamfanya mpenzi wako aanza kusikia raha zaidi na hivyo atainua sehemu yake hiyo ya nyuma ili kukupa nafasi wewe kuyafanyia kazi mapumb* yake......wewe endelea kuyakanda taratibu huku ukipitisha viganja vyako sehemu ya ndani ya mapaja yake pia(wakati huu itakuwa rahisi kuyafikia kwa vile atakuwa kajiinua).....
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Sasa nenda mpaka kwenye uume na ushike kama vile unavyoshikilia "kitwangio" wengine huita Mchi alafu endelea kumkanda sehemu yote hiyo kisha mgeuze taratibu na uendelee na kazi yako yamikono mpaka atakapo omba mambo fulani au endelea namkono mpakama amwageπŸ‘Œhapo utakuwa umegusa vipele muhimu na mwanaume atasikia raha ambazo atakukumbuka kila anapokuwa
πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„Mahaba proffesionalπŸ‘„πŸ‘„0658247651πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„
Share:

JINSI YA KUREKEBISHA MZUNGUUKO WA HEDHI,MWANAMKE

Hili ni tatizo linalowatokea karibu wanawake katika safari yao ya kuishi hapa chini ya jua. Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda. Kuvurugika kwa hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza kuona siku zake bila tarehe au mzunguko maalumu na matokeo yake ni kuwa mwanamke atashindwa kutimiza malengo yake kwa kutumia mzunguko huo sababu ni haueleweki. Unaweza kutokewa ghafla tu unapata hedhi mahali usipotarajia jambo linakufanya ubaki na woga na huelewi nini cha kufanya kwani hukuwa umejiandaa kwa tukio hilo kama matokeo ya siku zako kutokuwa mzunguko maalumu. Wakati mwingine unaweza kupitiliza mwezi hata miezi kadhaa bila kuona kabisa siku zako na hata ukipima ujauzito unakutwa huna ujauzito wala dalili huna. Madhara ya kuvurugika kwa mzunguko ni pamoja na; kushindwa kupata ujauzito, maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi.

 Kwanini unahitaji mzunguko wa hedhi ulio sawa?

Faida za kuwa na mzunguko wa hedhi ulio sawa

: Utakusaidia kupata ujaouzito ulioupangilia Utakuepusha kupata ujauzito ambao hukuupangilia Utaweza kuamua jinsia ya mtoto unayemtaka


Nini husababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi Ni rahisi kugundua kama mzunguko wako umevurugika ikiwa tu unauafahamu vizuri mzunguko wako ulio sahihi. Kufahamu mzunguko unahitaji uifahamu siku ambayo ulianza kuona damu hadi siku utakapoona tena katika mzunguko unaofuata. Karibu kila mwanamke huwa na mzunguko wake usiofanana na wa mwingine. Tatizo linaweza kuanza kwa kurukaruka siku, mwanamke pia anaweza kupoteza siku yaani mwezi mwingine anaona na mwezi mwingine haoni, au anaingia mara mbili kwa mwezi au anaona damu ya hedhi kwa siku nyingi hata zaidi ya siku arobaini mfululizo. Damu yake inaweza kutokea kidogo kidogo kila siku au nyingi huku ikiambatana na mabongemabonge na maumivu pia. Maumivu haya ya wakati wa hedhi huenea chini ya tumbo mpaka miguuni na kiunoni. Kuvurugika kwa hedhi kunaweza kutokea kutokana na sababu zifuatazo: Mabadiliko ya mazingira ambayo hupelekea mfumo wa mwili hubadilika pia hasa mwanamke akitoka sehemu ya joto kwenda mikoa ya baridi au toka mikoa ya baridi kwenda mikoa ya joto. Msongo wa mawazo (stress) Hofu Woga Mabadiliko ya kisikolojia Uvimbe kwenye kizazi Matatizo kwenye mfumo wa homoni Matatizo kwenye vifuko vya mayai Mimba kuharibika Maambukizi sugu ya kizazi pia ni mojawapo ya sababu. Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ya mara kwa mara na kila ukipima unaambiwa ni ugonjwa wa U.T.I kumbe siyo yutiai Kutokwa na uchafu ukeni Maumivu wakati wa tendo la ndoa

Jinsi ya kurekebisha mzunguko wa hedhi Kabla ya yote unapopatwa na tatizo hili kwa muda mrefu ni vizuri ukaonana na daktari uweze kupata uchunguzi wa kutosha kubaini nini hasa inaweza kuwa ndiyo sababu hasa ya tatizo kwa upande wako. Zifuatazo ni dawa mbadala 6 unazoweza kuzitumia ukiwa nyumbani ili kurekebisha tatizo hili

 1. Papai


UTAMU KITANDANI APP
Papai ni moja ya dawa nzuri sana katika kutibu tatizo la kuvurugika kwa hedhi. Ina viinilishe mhimu kama carotene, chuma ( iron), Kalsiamu (calcium) na vitamini A na C ambavyo husaidia kulainisha na kunywea kirahisi kwa kuta za mji wa uzazi. Siku 2 au 3 kabla ya kuanza kula papai kila siku nusu papai papai zima kutegemea na ukubwa wake au uwezo wako. Kwa mtu mwelevu sababu ameshagundua papai laweza kumsaidia hivyo basi atalifanya papai kuwa sehemu ya chakula chake kila siku na si mpaka aumwe tu.

Mdalasini Mdalasini unayo sifa ya kuondoa tatizo la damu kuganda sifa inayoweza kusaidia kuondoa tatizo la maumivu wakati wa hedhi. Mdalasini ni chanzo kizuri cha nyuzinyuzi (fiber), kalsiamu (calcium), chuma (iron) manganizi (manganese). • Tengeneza chai ya tangawizi kwa kutumia kijiko kidogo cha mdalasini ya unga na maji kikombe kimoja (robo lita), ipua na uache ipowe kidogo, ongeza asali kijiko kikubwa kimoja ndani yake na unywe. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka mara tatu siku 2 au 3 kabla ya kuanza siku zako. • Au changanya kijiko kidogo kimoja cha mdalasini ya unga na kijiko kidogo kimoja cha asali katika glasi moja ya maji ya uvuguvugu na unywe kutwa mara 2 siku za mwanzoni unapoanza au kukaribia kuingia katika siku zako. 

3. Tangawizi Tangawizi ni dawa ya asili yenye maajabu katika kutibu tatizo la mvurugiko wa hedhi. Tangawizi hufanya kazi mhimu kabisa katika kushusha kiwango cha homoni inayosababisha maumivu ijulikanayo kwa kitaalamu kama ‘prostaglandins’. Tangawizi husaidia pia katika kupigana na uchovu uletwao na mzunguko wa hedhi katika siku zile za mwanzo au siku 2 hivi kabla ya kuanza siku zako na huweza pia kufanya mzunguko usio sawa wa hedhi kuwa sawa • Tengeneza chai ya tangawizi ukitumia tangawizi mbichi, kunywa kikombe kimoja kutwa mara 3 wakati wa siku zako au siku yoyote tu kama kinga. Kamulia ndimu kidogo ndani yake na utumie asali kupata radha badala ya sukari. • Unaweza pia kuongeza tangawizi kwenye vyakula na mboga mboga nyingi unazopika kila siku. 

4. KOTIMIRI (Parsley): Tengeneza juisi ya kotimiri, viazi pori (Beet Root), karoti au matango. Tumia asali mbichi ukitengeneza juisi hii. Hii kotimiri inapatikana kirahisi Dar na Zanzibar ni mboga mboga inayotumika zaidi kwenye mahoteli ya kitalii. Mboga hii inacho kitu mhimu sana kijulikanacho kama ‘Apiol’ amabcho kazi yake kuu ni kurekebisha na kuweka sawa homoni za kike. Changanya kwa ujazo sawa yaani kama juisi ya kotimiri ni kikombe kimoja basi ya kiazi pori nayo kikombe kimoja kadharika kwa matango. Juisi hii ni dawa tosha ya maumivu wakati wa siku za hedhi, hurekebisha mzunguko wa hedhi na imethibitika kuwa bora kuliko dawa nyingi za kizungu. Kunywa glasi moja ya juisi hii kutwa mara 2.

 5. MREHANI Mrehani au Basil kwa Kiingereza ni mmea mwingine mzuri sana katika kuondoa maumivu wakati wa hedhi na kurekebisha mzunguko wa hedhi kwa ujumla. Mmea huu unatumika sana jikoni kwenye mahotel ya kitalii Dar na Zanzibar. Unao sifa kuu ya kuzuia au kuondoa maumivu mwilini. • Ongeza kijiko kikubwa kimoja cha majani freshi ya mrehani yaliyokatwakatwa na kisu (chop) kwenye kikombe kimoja cha maji ya moto, funika vizuri na usubiri ipowe. Kunywa yote ikishapoa na ufanye zoezi hili kutwa mara 3 kwa wiki 3 mpaka 4 au mpaka tatizo lako limeisha. • Au tengeneza juisi ya majani haya. Yatwange kwenye kinu au kwenye blenda ya umee kupata majimaji yake kisha chota vijiko vya chai viwili uweke ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto na unywe yote. Fanya zoezi hili kutwa mara 3. • Unaweza pia kuongeza majani freshi ya mrehani kwenye vyakula vingi unavyokula kila siku. 

6. MAJI YA KUNYWA Matatizo karibu yote mwilini chanzo chake ni mwili kutokuwa na maji ya kutosha. Maji ni uhai. Unachohitaji hapa ni kutokusubiri kiu. Kiu ni ishara ya mwili iliyochelewa kuhitaji maji. Matatizo mengi ya kiafya tumeyaona kwa watu wasiopenda kunywa maji ya kutosha kila siku. Jitahidi hata iweje iwe unaumwa au huumwi chochote unywe maji lita mbili mpaka tatu kila siku iendayo kwa Mungu na utaniletea mrejesho hapa hapa. Kama una swali au unahitaji ushauri wowote liulize hapo kwenye comment nitakujibu. Kama utahitaji hizi dawa tuwasiliane 07124872732
Share:

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žFAIDA YA MAZIWA MTINDI KWA MWANAMKEπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž.

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž
AFYA: Faida za kunywa maziwa – Taifa Leo

MAZIWA MTINDI YANA SIRI KUBWA KWA WANAWAKE NI WENGI HAWAYAPENDI ILA MTOTO WA KIKE JITAHIDI USIKOSE KUNYWA GLASS MOJA YA MAZIWA HAYA KILA SIKU
πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
 HAYA HUSAIDIANA NA BAKTERIA WA UKENI KATIKA KULINDA UKE KUZUIA ATHARI ZA FUNGUS KWA KUNYWA NA KUPAKA UKENI
πŸ’•πŸ’•πŸ’•
PIA UKIYATUMIA HUSAIDIA KURUDISHA UMBO LA UKE,HATA KAMA IMETANUKA UTARUDI KAMA ZAMANI TUMIA KWA KUNYWA
πŸ’•πŸ’•πŸ’•
HUONDOA HARUFU MBAYA Kukeni UkITUMIA NA KUIPA HARUFU NZURI YA KUVUTIA NA
KUNOGA KWELI HASA UNAPOKUWA UKIFANYA MAPENZIπŸ‘Œ
πŸ’•πŸ’•πŸ’•
PIA HUFANYA UKE UWE MNATO WAKATI WA KUFANYA MAPENZI
πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
JITAHIDI ASUBUHI UKIAMKA KUNYWA MAJI YA MOTO GLASS MBILI,KAA MASAA MAWILI KUNYWA MTINDI PAKITI MOJA NDOGO AU GLASS MOJA KILA SIKU NDANI YA MIEZI SITA HALAFU LETE MLEJESHO HAPAπŸ‘‡PIA KAMA ULIKUWA MHANGA WA FUNGUS UTASHANGAA NATURALLY ZAONDOKA NA KUJIHISI MTAAMU PIA HUONDOA SHOMBO HUKO HARUFU YA HUKO MWENYEWE UTAIPENDAπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•. Shukran, Kinga ni bora kuliko tiba.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU