-->

WENYE KUTUMIA AKILI ZAIDI WATAELEWA HILI


Wanawake mmejaaliwa kuwa na LAPTOP zinazopendeza saanaa na laptop zenu zina port kwa ajili ya kuingizia EXTERNAL data msiruhusu kila FLASH DISK kuingia kwenye PORT zenu, Flash zingine zina VIRUS maana hamjui zimetoka wapi kwenye ma internet cafe TUNZENI laptop zenu mpaka mtakapo miliki FLASH DISK zenu ambazo mtakuwa mnauhakika kwamba hazina virus, na kama ushamiliki itunze vizuri sana na iwe kwa matumizi yako tuu vinginevyo utakuja pata virus usiyoitarajia.
WANAUME tunzeni FLASH DISK zenu kuna laptop kwa nje zinaonekana ni NZURI kweli na zinavutia lakini hazijafanyiwa window updates kwa muda mrefu na hazina ANTVIRUS sio kila laptop unachomeka tu utajikuta umepoteza mafaili yako ya thamani yatakapo liwa na VIRUS.
NAJUA flash zinapenda sana kuingia kwenye kila laptop lakini ni vema mkazicontrol mpaka pale mtakapomiliki laptop zenu binafsi na kama ushamiliki yako basi hakikisha unailinda vizur sana.
Ni kweli Laptop zimetengenezwa kutumika na flash na kuenea kila port lakini pia laptop inafit kila flash….je, unauhakika ziko salama!! subiri umiliki yako na kabla hujaitumia kaiscan kuthibitisha usalama wa laptop au flash yako.
Image may contain: 1 person, standing
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU