-->

MWANAMKE UNAWEZA KUWA NA SIFA ZOTE ILA UKIKOSA HII BAS HAPO UMEKWISHA...!

Mwanamke, utakua na sifa zote za kukufanya uonekane mzuri na bora kuanzia nje, ndani ya moyo na hata akili lakini ukishindwa kutulia kwenye mahusiano na kila unayekuwanaye anakuacha basi thamani yako inaweza potea kwa kiasi kikubwa.
INAUMIZA sana kumpenda mtu kwa dhati na kumuweka moyoni wakati huo yeye hata hajui umeondoa vitu vingapi vyenye thamani moyoni mwako kwa ajili ya kumuachia nafasi ya kipekee ili aweze kuishi.
Ni dhahiri kwamba kuna wanaume kwenye hii dunia wasipowaona wapenzi wao wakilia ama kukosa furaha basi mioyoni mwao hawajiskii raha kabisa, wakati huo huo wao wakiudhiwa na kukasirishwa basi wanaweza wakanuna hata wiki nzima na midomo wameikunja juu juu kama pilipili hoho iliyopigwa na jua mwezi mzima.
Kama unapenda kuwa na furaha basi jifunze pia kumtengenezea furaha mwenzako.
Ruksa ku #SHARE
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU