Awali ya yote hayo ni;
• MWANAMKE KUAMINI KATIKA MABADILIKO YA MWANAUME KWAMBA IPO SIKU ATABADILIKA.
Haiwi rahisi kwa Mwanamke kumbadilisha Mwanaume, Wanaume kwa uhalisia wao MAPENZI NA MTOTO ni vitu viwili tofauti, wakati huo huo Mwanamke kwa uhalisia wake MTOTO NI ALAMA YA UPENDO KWA MZAZI MWENZIE 💯
Mkanganyiko huo umebomoa uhalali wa Mtoto baada ya wazazi wake kuingia VITA YA MAPENZI.
Ukweli ni kwamba MTOTO HUPATIKANA KWENYE MAPENZI lakini swala la UPENDO wa mtu wakati wa MAPENZI nalo linabakia kuwa fumbo, Iwe Mwanamke hata Mwanaume kwani hata wanawake wapo wanaobeba mimba bila kutarajia ila Mwanamke anayo neema ya NAFSI pindi aonapo amepata mimba huwazia MTOTO lakini Mwanaume ni nadra kufurahia hilo kwani wanaume tunaogopa MAJUKUMU YA ULEZI😂
Pindi Mwanaume ajuapo swala la MIMBA 🤰🏻bila kupanga mwenyewe automatically HUINGIA ROHO MBAYA ili kumuondoa Mwanamke huyo akilini kwake, Ni tofauti kidogo na waliopo kwenye NDOA lakini bila kumuandaa Mwanume juu ya kutafuta Mimba tatizo la Amani ya ndoa hiyo huchipua haraka😭😭
Wanawake hamjawa na msimamo kwa sababu kuu moja;
• TAYARI USHAJUA MWANAUME ULOZAA NAE NI KICHWA MAJI ILA UKIMUANGALIA MTOTO UNAOGOPA KUENDELEA MBELE KWANI UNAFIKIRI MZAZI MWENZIO ATABADILIKA NA KUWA BABA MWEMA KWA MWANAE SIO RAHISI HIVYO MAANA MWANZO MBAYA WA MWANAUME NDO MWISHO WAKE HUWA MBAYA HIVYO HIVYO 💯
Ni rahisi kumbadili Mwanaume mwanzoni ila ukishindwa usitarajie kamwe kuna siku atabadilika⛔️
Maji yakimwagika hayazoleki wewe kubali ULIISHAKOSEA kisha chukuwa hatua kwa msitakabali wa maisha yako, Maana mtoto anabakia kuwa wako lakini Mwanaume sio wako tena, Ndo maana wanawake wa sasa mnatamani kuolewa na wanaume TEGEMEZI ili iwe rahisi kimtawala hata hivyo tatizo lenu lipo pale pale maana NATURE YA WANAUME HAIBADILIKI japo wapo MUNGU kawapa huruma kwa vizazi vyao ila kumpata NI KUOMBA MUNGU💯
Mwisho kabisa;
• MWANAMKE TOFAUTISHA MAPENZI NA MTOTO HUKU UKIAMINI KWAMBA UNAWEZA KUHARIBU MAPENZI YAKO KWA SABABU UNAHITAJI MTOTO KAA NA MWENZA WAKO MPANGE KABLA HUJABEBA UJAUZITO NI HATARI MTOTO KUKOSA MALEZI YA BABA.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🔨