-->
Showing posts with label WANAUME. Show all posts
Showing posts with label WANAUME. Show all posts

WANAUME TUNAHADAIKA NA UZURI, UREMBO PAMOJA NA MUONEKANO WA MWANAMKE HATA TUKASAHAU MAANA HALISI YA MKE MWEMAπŸ’―


Kwa sasa mtaji mkuu wa Wanawake ni;-
πŸ‘‰πŸΌKUMILIKI PESA ZAKE MWENYEWEπŸ“Œ
Maana wanawake wanaamini akiwa na KIPATO CHAKE MWENYEWE ANAWEZA KUMMILIKI MWANAUME YEYOTEπŸ˜‚
Hapo ndipo Mwanamke anao uwezo wa kupaka Makeup πŸ’„ kuvaa nguo πŸ‘—πŸ‘ πŸ‘œ pamoja na kujiweka katika muonekano unao wavutia wanaume wengi, lakini ndani yake HAFAI KUWA MKE WA MTU⛔️
Wengi tunapenda wanawake wanaonekana kwa mbali ila wakiingia Kwenye himaya zetu lazima tuambulie majuto, Ndoa ni AGANO LA MUNGU hivyo kila mmoja anawajibika kujua msingi na maana halisi ya MKE/MUME japo wengi tunachukuana kwa mitazamo na kuzifuata HISIA pamoja na ulevi wa MAPENZIπŸ˜‚πŸ˜‚
Ndiyo Maana ndoa za leo unakuta KASI YA UHITAJI WA NDOA KABLA HUJAMJUA MTU inakuwa kubwa kuliko hata kutaka kumjua mhusika kwani wengi tunapumbazwa na AHADI NZURI KABLA YA NDOAπŸ“Œ
Unapongia kwenye NDOA kasi ile uliingia nayo hiyo hiyo unaianza kutaka kutoka kwenye NDOA wakati huo tayari ushafunga pingu za maisha😭
Mahusiano na ndoa nzuri zilizoleta ukombozi kwa wanaume wachache ni zile Mwanaume anamchukuwa Mwanamke kwa JINSIA🀰🏻🀱🏻
Kwamba Mwanaume huyo hataangalia Uzuri, urembo, wala muonekano wa Mwanamke wake huyo.
Mwanamke hapashwi kuwa Mchafu ila kuwa na Mwanamke anayejipamba kwa maslahi ya kupata Wanaume huyo hataweza kuwa sababu ya MAANA YA MKE⛔️
Wenyewe mnawaita WIFE MATERIAL etiii kisa tu ana kazi nzuri, anajiweza na wengine anaweza kukuwezesha, Kama ulivyomchukulia ndivyo unapashwa KUKUBALIANA NA YATAKAYOKUKUTA.
Wanaume tunaangamia kwa kuogopa kutengeneza wanawake, Wengi mnataka waliotengenezwa tayariπŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanamke ili akuheshimu na kukupa nafasi ya BABA maishani mwake NI YULE ANAYEAMINI KATIKA WEWE Yaani wewe ndo mwenye kumhudumia kama Maandiko yasemavyoπŸ’―
Lakini hawa wanapenda nyimbo za KIDOGO CHETU TUTACHANGA niamini hao hawaaminiki Kwenye PENDO LA KWELI
Mwanamke hata akuvumiliaje kamwe hataacha kuwazia kwamba MWANAUME UNATAKIWA KUMHUDUMIA ndo maana siku akikuchoka tusi ni wewe KUTOSIMAMIA MAJUKUMU YAKO KAMA MUMEπŸ“
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨
Image may contain: 1 person, standing and shoes
Share:

JIVUNIE MWANAMKE ULIYENAE KWA SABABU NDIYE MWENYE THAMANI HALISI KULIKO AMBAYE ATAKUJA KWA TAMAAπŸ“Œ


Mwanaume anapokuwa anajivunia kwa Mwanamke aliyenaye maana yake ndani ya Moyo wake ANAJISHANGAA KUMPATA MWANAMKE HUYOπŸ’―
Kinachowaponza wanaume ni kuamini kwamba wanao uwezo wa kubadili Wanawake, ni kweli hilo ni JADI yenu ndo maana hamuwezi kutuliza akili zenu kwa Mwanamke mmoja, kwa sababu kama Mwanaume akiweza kutuliza akili kwa Mwanamke mmoja ni lazima awe MUOGA KUMPOTEZA MWANAMKE HUYO na ninawaambia wanawake japo itawauma ila mnielewe;-
πŸ‘‰πŸΌ MWANAUME KAMA HAWEZI KUOGOPA KUKUPOTEZA KAMWE USIMWAMINI KWA UPENDO⛔️
Mwanaume ili awe anakupenda lazima akuone mpya kila siku, lakini ukiona kama wewe ndo unalazimisha UHAI wa penzi lenu ujue IMEISHA HIYOπŸ‘ŠπŸ»
Mwanaume akiwa kwenye hali ya UPENDO WA DHATI juu yako lazima awe na wivu juu yako, Lakini ukiona Mwanaume ukiwa nae ni kama unambana ujue wewe ni PICHA YA MWANAMKE ALIYETARAJIA KUWA NAE ila yupo ambaye ndiye anayo dhamana kwenye MOYO wakeπŸ—£
Hakuna muujiza wa kumfanya Mwanaume akupende ila ni Mwanaume mwenyewe kuamua kumpenda Mwanamke wake, Nature ya UPENDO WA KWELI unajiendesha wenyewe, ni NAFSI KWA NAFSI na MOYO KWA MOYO🌹
Kinyume cha hapo;-
πŸ‘‰πŸΌ NI HASARA KUBAKIA KATIKA IMANI YA UPENDO WAKATI UPO KWA MATUMIZI YA MTU.
Ipo raha iletayo AMANI pamoja na FURAHA kuwa na Mwanaume anayekupenda kwa DHATI maana itakupa kujidai na kuijua THAMANI YAKOπŸ“Œ
Mwanaume akikupenda hataacha kukutazama na kuku-imagine ndo maana halisi ya yeye kubakia na wewe, lakini hawa wanaume wenu walamba lips πŸ’‹ wallah mnakimbiza paka🐈 weusi gizani mwisho kabisa ni wewe kubakia Kwenye UTUMWA ambao utakunyima NURU maana kila saa hujiamini.
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨
Image may contain: 2 people, people standing
Share:

MACHO NA MASIKIO vina uponza moyo wako ktk mahusiano ya mapenzi


MACHO yame muona kuwa ana mwonekano mzur-ana pendeza na ana onekana kwao wana pesa sana--MASIKIO yana pokea taarifa nyingi kumhusu yeye
wapo marafik na ndugu zako wanao diriki kumkashifu mwenye mapenz ya dhati kisa tu hana mwonekano mzur na pesa mbele ya macho yao USIYE MPENDA ndiye anae ongoza jaza inbox yako maana kila anapo kukumbuka ana kutumia sms
wakat mwingoe hujibu ila bado ana tuma maana ndo faraja yake, unae mpenda na kumuamin kwa wik ana tuma txt 1 tena ujue ana taka penz au pesa-kwa kuwa una fuata tamaa ya MACHO na MASIKIO yako ume angukia ktk mikono ya SHARO BARO /SISTA DUU ambae hana habar na MAHABA anacho jali kupendeza na kula vizur
usipo mtafuta kwa simu wala yy hana shida-hapo ndo utakuta una anza mkumbuka uliye mkataa kwan upendo wake ulikuwa wa dhati ila huku taka upokea-
VIZUR HUPENDWA NA WENGI
-ILA UPENDO WA DHAT NI WACHACHE WANAO
mawasiliano yaki lega mapenz hufa-usilazimishe upendwe kisa ume penda-TUFUATE UPENDO SIO MALI
Usilazimishe kuwasiliana na mtu ambae hajisikii kujibu SMS zako wala kupokea simu zako. Isiwe kama we ndo mwenye shida sana juu yake yaan kila Mara umuanze wewe nae sababu haziishi
Image may contain: one or more people
Share:

Unaweza ukaikosa ndoa kwa ajili tu ya kutaka harusi ya gharama na mahari bei juu .


Ukiona mtu mnapendana , anakupenda na ana nia ya kukuoa basi mrahisishie pia mazingira ya yy kukuoa ili muoane na siyo kumpa ugumu kwa maana utakua umejiharibia mwenyewe.
>kama wewe ndio mwenye idhini ya kutaja mahari basi mtajie atakayomudu na si ya kumkomoa au kutaka ufahari.
>kama ni wazaz wako ndio wanaotaja basi hakikisha unamtetea pia upande huo ilimradi tu kumrahisishia ugumu wa mazingira ya kukupata.
>lakini pia epuka kutaka harusi za kifahari yaani ile unamwambia sijui "nataka harusi ya ukubwa huu" n.k , acha afanye kulingana na uwezo wake ila ishu ya wewe kutamani harusi kubwa kutamfanya akate tamaa ya kukuoa kwa maana anajua unapenda mambo makubwa.
Usitake ndoa za sifa bali taka ndoa ya kukuunganisha na mwenzi wako tu hata iwe ya kawaida kwa maana ishu ni kuoana tu na si kuonyesha watu mnaoana kwa gharama gani,kwa Mungu hakuna ubora kwa wingi wa pesa bali utii na uchaji kwake.
Share ukipenda....................................
Image may contain: one or more people, people sleeping, people sitting and close-up
Share:

JE UNAMPENDA SANA ILA YEYE HAJALI WALA HAKUONESHI UPENDO WALA KUJALI

Umdhaniaye ndiye kumbe siye, Ni kweli kuwa mahusiano yamekuwa mzigo kwako, yamekuwa magumu na machungu kiasi cha kulia na kukosa la kufanya, unampenda na haoni thamani yako, umempa moyo na kila wema lakini malipo yamekuwa kilio na kutaabika,
Imefika mahali unawaza kwani Mahusiano ni pilipili au kitunguu? Unajiuliza hivi ni wewe tu au hata rafiki yako anayetolewa out na mwenzi wake naye humpata haya? Unahisi unaonewa na hauna bahati ya kupendwa.
Inafika mahali unaamua kujifungia ndani na kulia kwa sauti ili moyo upumue, ukihisi umelia imetosha umeridhika, lakini unapochukua simu ili kumtafuta hapokei simu, sms hajibu, yupo online na hajishughulishi kukutafuta, moyo unajaa hasira, unaanza kulia tena, unakata tamaa na kuona heri uwe single.
Mtia Moyo leo ninalo jambo la kukufumbua macho, kamwe usilazimishe upendo, usipopendwa huwezi papenda, tia mkakati wa kuamua maamuzi magumu ili uwe huru.
Neno la Mungu linasema
"Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua. Yeremia 33 
Mkabidhi Mungu mahusiano yako, naye atafanya njia pasipo njia, atatenda nawe utaipata amani na machozi mazito ya furaha yatabubujika machoni mwako.
Mungu ndiye Njia, Njia ya amani kwa wale wote wanaomtegemea kwa kila jambo hata katika Mahusiano yao pia.
Mungu akutie Nguvu. πŸ˜˜
Share na rafiki zako wapone
UTAMU KITANDANI APP
Share:

HUWA INATOKE KTK MAHUSIANO


Weng wana dai wana kupenda- una mchagua 1 na kumpatia mwili na mda wako kuwa ndiye wa kudumu nae,unampatia pesa na Mali zako
wakat mwingne nawe una jua fika kuwa uliye muacha ndiye mwenye upendo wa dhat kuliko uliye nae
MAUMIVU huja siku ikatokea uliye muamin kakutenda na hakutak tena kaenda KUOA/KUOLEWA na mwingine afu uliye muacha mwanzo leo una sikia ana maisha mapya ndan ya NDOA yake na hana tena simanz maana moyo wake ume pata mlinzi sahihi
ww ndo ulipaswa uitwe MR/MRS fulani ila kwa kuwa ulipenda wenye pesa au makalio makubwa basi umeishia kutanga tanga ukiamin labda ata jitokeza wa kuishi nawe kwa raha na shida
Ukiwa Na Umri Zaid Ya Miaka 20 Bas Anzisha Uhusiano Unao Weza Zaa NDOA sio kujidanganya na mapenz ya kwenda beach-disco- JIAMIN KABLA KUMUAMIN YEYE
Image may contain: 1 person, close-up
Share:

HEBU TUONGOLEE USALITI KWENYE MAHUSIANO

USALITI - MAHUSIANO
πŸ’˜πŸ˜
#Barafu huyeyuka inapopata joto, macho ukosa uwezo na kuganda unapo msaliti mwenzi wako.
πŸ’˜πŸ˜
#Kama anamsaliti aliye naye na kukufuata wewe, usijifariji, hata wewe atakusaliti na kumfuata mwingine.
πŸ’˜πŸ˜
#Umekwisha kamatwa, acha kujitetea, ondoa uongo, kuwa mkweli, badirika na anza upya.
πŸ’˜πŸ˜
#Hakuna kufaulu wala kufeli katika mapenzi.
πŸ’˜πŸ˜
#Historia hujirudia, muongo hurudia uongo na msaliti uendeleza usaliti, aliye kupigania na kukupenda uendeleza upendo na kuwa nawe daima.
πŸ’˜πŸ˜
#Kila wakati unapo msaliti na kukamatwa unavunja sehemu ya uaminifu, unapoendelea unampoteza kabisa.
πŸ’˜πŸ˜
#Wote hujiona mashujaa, wajanja na wataalamu wakati wa usaliti lakini pindi tunapo kamatwa, samahi utawala na ujanja ugeuka ujinga.
πŸ’˜πŸ˜
#Usimlilie msaliti, kumbuka, Mungu amekupa uhai na nguvu ukaishi.
Unaweza kuishi bila yeye.
πŸ’˜πŸ˜
#Kwa kawaida msaliti huisi wengine kuwa wasaliti, na muongo hudumu kuwaza kudanganywa.
πŸ’˜πŸ˜
#Kama unamsaliti mwanamke aliye tayari kuwa nawe katika hali yoyote basi unajisaliti wewe mwenyewe na maisha yako.
JIFUNZE UAMINIFU
πŸ’˜πŸ˜
#Kama unayo mahusiano na mpenzi wa mtu, usishangie akikuacha na kuyaanzisha kwa mwingine tena.
πŸ’˜πŸ˜
#Kila mtu anazo hisia za mapenzi lakini hisia hizi hazipo kwa ajiri ya kuchezewa na wasanii.
πŸ’˜πŸ˜
#Bora kulala mwenyewe kuliko kulala na mtu ambaye wakati haupo hulala na wengine pia.
πŸ’˜πŸ˜πŸ’˜πŸ˜
#Unafahamu kabisa kuwa ungekuwa wewe umesalitiwa usinge msamehe, kwanini wewe unahangaika kulia na kuomba msamaha baada ya kufumaniwa?
πŸ’˜πŸ˜
#Ikiwa unao muda wa kutosha katika usaliti, unao pia muda wa kutosha kujifunza uaminifu.
πŸ’˜πŸ˜πŸ’˜πŸ˜
Share:

FAIDA ya Kuvaa Socks Miguuni Wakati wa Tendo la Ndoa..!!!



Utafiti uliofanywa na jopo la watafiti wenye utaalam wa masuala ya uhusiano na saikolojia wa Chuo kikuu cha Wageningen nchini Uholanzi umebaini faida za kushiriki tendo la ndoa ukiwa umevaa socks miguuni.
Bila shaka utakuwa umewahi kuona picha za watu wanaotengeneza taswira ya wanandoa wakiwa kitandani na socks miguuni. Huenda waliuamini utafiti huu na baada ya kujaribu wakaona unazaa matunda wayatakayo.
Katika utafiti huo, waligundua kuwa uvaaji wa socks miguuni kwa wanaume na wanawake kunaongeza ari zaidi na uwezekano wa kufika kileleni kwa haraka na mshindo wa nguvu zaidi kutoka 50% (kabla ya kuvaa socks) na 80% (baada ya kuvaa socksi).
Utafiti huo ulizaliwa kutoka kwenye ule wa awali ulifanywa mwaka 2011 na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins. Watafiti wa Johns Hopikins walikuwa wakijaribu kuusoma ubongo wa binadamu wakati akishiriki tendo la ndoa, kujua madhara ya kisaikolojia na kimwili anayoyapata wakati anapofika kileleni.
Wakati wakiendelea na na zoezi hilo, watu waliokuwa wanatumika kama sampuli wakifanya mapenzi, walilalamikia hali ya ubaridi ndani ya chumba chenye ‘scanner’ ya ubongo. Ndipo watafiti hao walipoamua kuwavalisha socks miguuni. Ghafla uwezo wao katika tendo hilo ulipanda kutoka 50% hadi 80% za kukifikia kilele kwa kishindo zaidi.

Nao watafiti wa Chuo Kikuu cha Wageningen wamebaini kuwa kuiweka miguu pekee kwenye hali ya joto kupitia socks, kunaongeza kwa asilimia za za ziada 30.

Usisahau kushare post hii.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU