-->

Unaweza ukaikosa ndoa kwa ajili tu ya kutaka harusi ya gharama na mahari bei juu .


Ukiona mtu mnapendana , anakupenda na ana nia ya kukuoa basi mrahisishie pia mazingira ya yy kukuoa ili muoane na siyo kumpa ugumu kwa maana utakua umejiharibia mwenyewe.
>kama wewe ndio mwenye idhini ya kutaja mahari basi mtajie atakayomudu na si ya kumkomoa au kutaka ufahari.
>kama ni wazaz wako ndio wanaotaja basi hakikisha unamtetea pia upande huo ilimradi tu kumrahisishia ugumu wa mazingira ya kukupata.
>lakini pia epuka kutaka harusi za kifahari yaani ile unamwambia sijui "nataka harusi ya ukubwa huu" n.k , acha afanye kulingana na uwezo wake ila ishu ya wewe kutamani harusi kubwa kutamfanya akate tamaa ya kukuoa kwa maana anajua unapenda mambo makubwa.
Usitake ndoa za sifa bali taka ndoa ya kukuunganisha na mwenzi wako tu hata iwe ya kawaida kwa maana ishu ni kuoana tu na si kuonyesha watu mnaoana kwa gharama gani,kwa Mungu hakuna ubora kwa wingi wa pesa bali utii na uchaji kwake.
Share ukipenda....................................
Image may contain: one or more people, people sleeping, people sitting and close-up
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU