-->

CHOMBEZO TAMU LA MAPENZI


Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika.
Shanga hazivaliwi tu kama kuvaa, kuna rangi kuna idadi... Mara nyingi huwezi kukuta binti kavaa shanga nyeupe.... Shanga kwa uchache huvaliwa 3 na kwa wingi kabisa 32.
Si kila kiuno cha mwanamke kinafaa kuvishwa shanga, ni lazima kiuno kibebe umbo la kike hapo ndio shanga zitaleta maana na hasa zikipata fundi wa kuzichezea .
Na si kila Mwanamke ni mpenzi wa shanga kwahiyo shanga hazivaliwi kama fasheni kama tunavyowaona mabinti wengi siku hizi wakiwa na ushanga mmoja wa gold shaba ama madini mengine.
Mwanamke mtundu na mwizi wa mahaba anajua vema kuziviringa chini ya kiuno cha mwanaume na mwanaume akachanganyikiwa kabisa!
Matumizi ya shanga ni sanaa ya aina yake kabisa ni ufundi na ni utundu.
Dada yangu usivae ushanga/shanga kama hujui matumizi yake utatia aibu.
Na wewe Kaka yangu kama hujui jinsi ya kucheza nazo ziache kama zilivyo utajikuta umezikata zote na kupewa adhabu ya kuziokota na kuziunga tena.
Kitu kingine muhimu kabisa kwenye shanga ni usafi .
Mwanamke mchafu daima havai shanga zitamnukia azidi kuonekana wa hovyo.
Je wako anazo kiunoni? Na anajua kuzitumia.
KAMA HAJUWI BASI NGOJA NIWAJUZE
👇👇👇
HUONGEZA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA..
Ushawahi kuwaona baadhi ya wanawake wanapokuwa wanacheza ngoma,kiunoni huvaa kitu kinachoitwa kibwebwe ambacho huwafanya wajihisi wepesi wa kukata miuno,baadhi ya wanawake pia huvaa shanga kwa ajili ya kufanya iwe rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na pia wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.
UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU KWANI WANAWAKE WA ZAMANI WALIKUWA WANAZIJUA SHANGA NA RANGI ZAKE .
Mfano :-
NYEKUNDU : mwanaume ukiona ivo ujue huyo mwanamke yupo kwenye hedhi, bahari imechafuka, kuogelea hamuna
NYEUPE : ukikutana na mwanamke kavaa shanga nyeupe ujue bahari ipo salama inafaa kwa mechi, mzigo unapigika ushindwe wewe tu
NJANO : ukikutana na mwanamke kavaa shanga za njano basi ujue hataki mechi ya kukamiana sana, anataka mechi ya kirafiki tu, kibao kimoja kinamtosha.
Ila Wanawake wa siku izi wavaa shanga zina rangi kibao utadhani BENDERA YA CHADEMA.
Mnatuchanganya sanaaa
Badilikeniii bhanaaa
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU