-->

JIVUNIE MWANAMKE ULIYENAE KWA SABABU NDIYE MWENYE THAMANI HALISI KULIKO AMBAYE ATAKUJA KWA TAMAAπŸ“Œ


Mwanaume anapokuwa anajivunia kwa Mwanamke aliyenaye maana yake ndani ya Moyo wake ANAJISHANGAA KUMPATA MWANAMKE HUYOπŸ’―
Kinachowaponza wanaume ni kuamini kwamba wanao uwezo wa kubadili Wanawake, ni kweli hilo ni JADI yenu ndo maana hamuwezi kutuliza akili zenu kwa Mwanamke mmoja, kwa sababu kama Mwanaume akiweza kutuliza akili kwa Mwanamke mmoja ni lazima awe MUOGA KUMPOTEZA MWANAMKE HUYO na ninawaambia wanawake japo itawauma ila mnielewe;-
πŸ‘‰πŸΌ MWANAUME KAMA HAWEZI KUOGOPA KUKUPOTEZA KAMWE USIMWAMINI KWA UPENDO⛔️
Mwanaume ili awe anakupenda lazima akuone mpya kila siku, lakini ukiona kama wewe ndo unalazimisha UHAI wa penzi lenu ujue IMEISHA HIYOπŸ‘ŠπŸ»
Mwanaume akiwa kwenye hali ya UPENDO WA DHATI juu yako lazima awe na wivu juu yako, Lakini ukiona Mwanaume ukiwa nae ni kama unambana ujue wewe ni PICHA YA MWANAMKE ALIYETARAJIA KUWA NAE ila yupo ambaye ndiye anayo dhamana kwenye MOYO wakeπŸ—£
Hakuna muujiza wa kumfanya Mwanaume akupende ila ni Mwanaume mwenyewe kuamua kumpenda Mwanamke wake, Nature ya UPENDO WA KWELI unajiendesha wenyewe, ni NAFSI KWA NAFSI na MOYO KWA MOYO🌹
Kinyume cha hapo;-
πŸ‘‰πŸΌ NI HASARA KUBAKIA KATIKA IMANI YA UPENDO WAKATI UPO KWA MATUMIZI YA MTU.
Ipo raha iletayo AMANI pamoja na FURAHA kuwa na Mwanaume anayekupenda kwa DHATI maana itakupa kujidai na kuijua THAMANI YAKOπŸ“Œ
Mwanaume akikupenda hataacha kukutazama na kuku-imagine ndo maana halisi ya yeye kubakia na wewe, lakini hawa wanaume wenu walamba lips πŸ’‹ wallah mnakimbiza paka🐈 weusi gizani mwisho kabisa ni wewe kubakia Kwenye UTUMWA ambao utakunyima NURU maana kila saa hujiamini.
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨
Image may contain: 2 people, people standing
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU