-->

WANAUME TUNAHADAIKA NA UZURI, UREMBO PAMOJA NA MUONEKANO WA MWANAMKE HATA TUKASAHAU MAANA HALISI YA MKE MWEMA💯


Kwa sasa mtaji mkuu wa Wanawake ni;-
👉🏼KUMILIKI PESA ZAKE MWENYEWE📌
Maana wanawake wanaamini akiwa na KIPATO CHAKE MWENYEWE ANAWEZA KUMMILIKI MWANAUME YEYOTE😂
Hapo ndipo Mwanamke anao uwezo wa kupaka Makeup 💄 kuvaa nguo 👗👠👜 pamoja na kujiweka katika muonekano unao wavutia wanaume wengi, lakini ndani yake HAFAI KUWA MKE WA MTU⛔️
Wengi tunapenda wanawake wanaonekana kwa mbali ila wakiingia Kwenye himaya zetu lazima tuambulie majuto, Ndoa ni AGANO LA MUNGU hivyo kila mmoja anawajibika kujua msingi na maana halisi ya MKE/MUME japo wengi tunachukuana kwa mitazamo na kuzifuata HISIA pamoja na ulevi wa MAPENZI😂😂
Ndiyo Maana ndoa za leo unakuta KASI YA UHITAJI WA NDOA KABLA HUJAMJUA MTU inakuwa kubwa kuliko hata kutaka kumjua mhusika kwani wengi tunapumbazwa na AHADI NZURI KABLA YA NDOA📌
Unapongia kwenye NDOA kasi ile uliingia nayo hiyo hiyo unaianza kutaka kutoka kwenye NDOA wakati huo tayari ushafunga pingu za maisha😭
Mahusiano na ndoa nzuri zilizoleta ukombozi kwa wanaume wachache ni zile Mwanaume anamchukuwa Mwanamke kwa JINSIA🤰🏻🤱🏻
Kwamba Mwanaume huyo hataangalia Uzuri, urembo, wala muonekano wa Mwanamke wake huyo.
Mwanamke hapashwi kuwa Mchafu ila kuwa na Mwanamke anayejipamba kwa maslahi ya kupata Wanaume huyo hataweza kuwa sababu ya MAANA YA MKE⛔️
Wenyewe mnawaita WIFE MATERIAL etiii kisa tu ana kazi nzuri, anajiweza na wengine anaweza kukuwezesha, Kama ulivyomchukulia ndivyo unapashwa KUKUBALIANA NA YATAKAYOKUKUTA.
Wanaume tunaangamia kwa kuogopa kutengeneza wanawake, Wengi mnataka waliotengenezwa tayari😂😂
Mwanamke ili akuheshimu na kukupa nafasi ya BABA maishani mwake NI YULE ANAYEAMINI KATIKA WEWE Yaani wewe ndo mwenye kumhudumia kama Maandiko yasemavyo💯
Lakini hawa wanapenda nyimbo za KIDOGO CHETU TUTACHANGA niamini hao hawaaminiki Kwenye PENDO LA KWELI
Mwanamke hata akuvumiliaje kamwe hataacha kuwazia kwamba MWANAUME UNATAKIWA KUMHUDUMIA ndo maana siku akikuchoka tusi ni wewe KUTOSIMAMIA MAJUKUMU YAKO KAMA MUME📍
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨
Image may contain: 1 person, standing and shoes
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU