-->

MWANAMKE AKIANZA KUKUONGOPEA UJUE HANA UPENDO WA DHATI ❤️ KWAKO💯


Nature ya MWANAMKE ni kusema ukweli ili kuthibitisha analoliamini, ila ukiona Mwanamke anakuwa na kauli mbili mbili ujue kwamba MOYONI MWAKE ANAO UNAFIKI ama anaficha kitu au uhalisia wake, au anajaribu kutaka KUONA KAMA UNA NAFASI NDANI YAKE💯
Kama ukiona Mwanamke ni mkweli kwako tafuta uwazi wake ili uwe na hakika ya UPENDO WAKE WA DHATI KWAKO📌
Mwanamke anaweza kukudanganya kwa sababu wewe mwenyewe unaamini UONGO😂
Huwezi kufurahia PENZI LA MWANAMKE MUONGO maana atakupa kazi ya kumtafakari mienendo yake wakati mwenzio anajua AME-WIN na mara zote ili kumjua UHALISIA wake ni kumbana, Mwanamke MUONGO ukijaribu kumbana lazima mtaingia MGOGORO🤔
Hiyo inaitwa;-
👉🏼 UKIONA MANYOYA🕊 UJUE KALIWA 🤦‍♂️
Ukibahatika kumpata Mwanamke mkweli UTAJIVUNIA na utakuwa mahala salama kiasi kwamba wewe mwenyewe utajua na kuamini katika UWEPO WA MWANAMKE HUYO 😋
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨
Image may contain: 2 people, people sitting
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU