-->

LOVE SMS 💖💖💖💖💖💖💖


1. BARAFU WA MOYO WANGU
Ama hakika wew ni mwanamke wa pekee ambae umebarikiwa mambo mengi matamu na yakipekee, ndimi zako laini tamu zisizo na mfano, mguso wako ni waajabu na wenye ubaridi adimu mno, nikiwa nawe napoteza kumbukumbu, nakiri kusema nikiwa nawe ni zaidi ya mbumbumbu, mapigo ya moyo wako yakidunda kifuani mwangu, yani sawa na upepo baharini usio koma kuvuma, nakuwaza kila iitwapo asubuhi, na hunijia taswira yako ndotoni nyakati za usiku.
Kwa kweli nguvu ya mapenzi yako ni zaidi ya silaha yenye sumu.
NAKUPENDA SANA KIPENZI CHANGU KWANI KWANGU UNA UMUHIMU.
😍😍
2. MY DEAR
Nina UPOFU wa mapenzi sioni zaid yako, kama ni moyo wangu UPO nimekuweka pekeako, usininyanyase mwenzako,maana sina wa kumpenda zaid yako.
LANISHINDA KUWA NAWE MBALIMBALI
NAKUPENDA WALA SIONI BADALI
😍😍
3. MPENZI WANGU
Kamwe sitokubali penzi letu litoe nyufa, ama kutiwa sumu yenye makali furaha yetu ikafa, bali nitakujali kama bahat pekee nilowah kuipata, mbali na yote mimi ni wako pekeako naomba usiwe na shaka.
😍😍
Ila kwa wale wanaohitaji kutumia SMS ZA MAPENZI kama hizo kwenye simu zao itawalazimu wachangie vocha au Pesa..
Kupitia namba hizo hapo chini 👇 .
M-PESA : 0753 324 749 jina FARID JUMA.
TIGO PESA : 0712963509 jina FARID JUMA.
Usiweke namba bali nicheck inbox au kwenye hizo namba
Masharti na vigezo kuzingatiwa.
💚💚 SAMBAZA UPENDO 💚💚
MUWE NA SIKU NJEMA WAPENDWA
Image may contain: 1 person, text
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU