-->

HUWA INATOKE KTK MAHUSIANO


Weng wana dai wana kupenda- una mchagua 1 na kumpatia mwili na mda wako kuwa ndiye wa kudumu nae,unampatia pesa na Mali zako
wakat mwingne nawe una jua fika kuwa uliye muacha ndiye mwenye upendo wa dhat kuliko uliye nae
MAUMIVU huja siku ikatokea uliye muamin kakutenda na hakutak tena kaenda KUOA/KUOLEWA na mwingine afu uliye muacha mwanzo leo una sikia ana maisha mapya ndan ya NDOA yake na hana tena simanz maana moyo wake ume pata mlinzi sahihi
ww ndo ulipaswa uitwe MR/MRS fulani ila kwa kuwa ulipenda wenye pesa au makalio makubwa basi umeishia kutanga tanga ukiamin labda ata jitokeza wa kuishi nawe kwa raha na shida
Ukiwa Na Umri Zaid Ya Miaka 20 Bas Anzisha Uhusiano Unao Weza Zaa NDOA sio kujidanganya na mapenz ya kwenda beach-disco- JIAMIN KABLA KUMUAMIN YEYE
Image may contain: 1 person, close-up
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU