-->

JE NI SAHIHI MWANAMKE KUPANDA MADHABAUNI AKIWA MJAMZITO?

Displaying items by tag: mimba
Kwanza ifahamike kwamba;
•KUSHIRIKI KI MWILI KABLA YA NDOA NI UZINZI MAANA YAKE NI DHAMBIπŸ’―
Kumezuka kama FASHION kwamba ILI HARUSI IWE NZURI KWA MWANAMKE NI PALE ANAPOKUWA MJAMZITO πŸ€°πŸ»
Watoto wa mujini wanasema;
• USIUZIWE MBUZI KWENYE GUNIAπŸ˜‚πŸ˜‚
Kwenye macho ya walimwengu ni FURAHA SANA ila utajibu nini kwa MUNGU wako?
Migogoro mingi kwenye NDOA za sasa ni USALITI lakini chimbuko kuu la USALITI halijafahamika na hapo kuleta misuguano isokwisha huku wahusika wakisahau MAANA HALISI YA NDOA!
Mwanamke ilinde NDOA yako ya AHADI kwa kufuata MAANDIKO YA MUNGU wala usiwaangalie wana wa adamu ili kutengeneza siku yako ya HARUSI.
Harusi ni sherehe, Ndoa ni AGANO LA MUNGU je unaagana na MUNGU UKIWA MZINZI?
Unapanda madhabauni ukiwa MZINZI umempofusha SHEKHE AMA PADRI je MUNGU haoni tumbo lako?
Mnapoteseka na NDOA zenu msimtafute mchawi WACHAWI NI NINYI WENYEWEπŸ’― maana unaandaa LAANA MWENYEWE kwa kumdanganya Mungu wako huku ukijua kabisa ni DHAMBI😭😭
#Elista_kasema_ila_sio_SheriaπŸ”¨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU