-->

SIO KILA KITU AMBACHO MWANAUME WAKO ANATAKA UFANYE BASI UNAFANYA ILI KUMRIDHISHA!

UTAMUZAIDIAPP

Si kila kitu ambacho mwanaume wako anataka ufanye basi unafanya ili tu kumridhisha, kwanza kumbuka mwamadamu hata umpe dunia hataridhika atataka na pochi ya kuibebea hivyo fanya kile kitu ambacho na wewe unapenda au unajua hakitakua na madhara ya muda mrefu kwako.
Kwa mfano mwanaume anataka mweupe wewe huyo unakimbilia mikorogo, anataka kalio kubwa unajidunga madawa ambayo hata huyo alotengeneza kapigwa pasi anakuambie anapenda kinyume na maumbile ulivyo chizi unakubali tu ili asichepuke. Kwanza kumbuka kuwa hataishi milele hivyo kila kitu unachomfanyia hata kama akiridhika basi madhara yatabakia kwako.
Ndiyo unaweza kumfanyia vitu ambavyo havina madhara kama anataka nywele ndefu kwani bei gani suka hata akitaka unyoe nyoa tu lakini wewe na kimbelembele chako unamchora na Tattoo kwani Mama yako huyo kuwa atakua mmoja? Ndugu yangu kama alimuacha X wake aliyemvunja bik*** wewe ni nani asikuache alokukuta ushamaliza kudanga jiongeze!
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU