-->

MWANAMKE ILI JAPO UWE NA HAKIKA YA KUMPATA MUME BORA NI KWA NAMNA GANI UNAJIWEKA BINAFSI YAKO.

UTAMUZAIDIAPP
Mwanamke nisome na unielewe vizuri;
Wanaume wanapenda sana kudeal kwa mahusiano ya kawaida na WASICHANA lakini anapokuwa anatafuta MKE lazima amtafute MWANAMKE😎
Hakuna Mwanaume muoaji wa kweli atasumbuka na Mwanamke ambaye mpaka anafikisha umri wa miaka 18 bado anasumbuka na mambo ya kubadilisha viatu na nguo za utupu.
Wanaume ni wajanja mno, Kwa mvuto wa mavazi yako watakutumia na ahadi nyingi za kukuoa mwisho kabisa UTASHUHUDIA AKIOLEWA MWANAMKE AMBAYE WEWE UTAMNANGA NI MSHAMBA wakati MwenZio ndo amechagua kwa UTASHI wake, Wanawake badilikeni na mkubari kutoka kwenye USICHANA hata kuukubari wakati ambao mtakuwa mmeitwa kuwa WANAWAKE ili muweze kuchaguliwa kuwa WAKE ZA WATU💑
Kubakia kwenye USICHANA ndo maana muda ukipita mnajikuta mnakuwa wahudumu wa makanisani japo mbahatishe wapendwa wakati wenu ulipowadia hamkutaka kuendana nao sasa mnakwenda kutaabisha watoto wa watu kwa KIVULI CHA KANISA.

Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU