
Wadada
Naa apia.. Juu ya hili na mimi utanikumbuka.
Siku moja utakuja kumkumbuka mwanaume ambae ulimuona wa kawaida kwako kwa tamaa zako tu za kidunia,huyu ni yule mwanaume ambae alikuhitaji kwa ajiri ya maisha na si sitarehe za kidunia,yule ambae alihitaji uwe mke wake wa maisha na si mwanamke wa ngono,yule ambae alihitaji uwe mama wa watoto wake na si mama wa marehemu mimba ulizokuwa ukizitoa kipindi hicho.
Ila kwa kujiona wewe star kisa unatongozwa ovyo ovyo ukajiona una soko
Unaweza kupata mwingine wa kumzidi huyo kipato.. Hivi wanaume wengekua wanataka wanawake wenye pesa wewe angekuchagua.. Kwa nini wewe ujiuze, ushindwe kuona upendo wa mtu juu yako wewe unaangalia pesa, we unahisi ni wanawake wangapi walio na akili kama zako ambao wapo lazi kuchukuliwa bure bure kisa mwanaume ana jina au mali??
Je upo tiari kuivumilia foleni hiyo, maana mpo wengi wajinga ambao mnadanganywa na tako na kioo na kuanza kujirahisi ovyo kisa vi elfu 50 vya saloon, wewe unatofauti gani na malaya wa malindi, makoroboi, au wa buguruni huko wanaojiuza kwa elfu 10 bao moja.. Kumbuka kadiri muda wako unavyozidi kwenda thamani yako inashuka hususani ewe binti,hii miluuzi unayoisikia leo ipo siku hutoisikia tena,acha dunia na mambo yake tafuta na simama na mwanaume yule anaehitaji maisha na wewe,mwanaume yule anaihitaji kuilinda thamani yako na utu wako,usiseme kuwa wanaume wa aina hii hawapo bali jiulize mwenyewe endapo atatokea mwanaume wa aina hii ataweza kuishi na wewe? Badilika wakati hauna break hata kidogo,ukiwa binti msafi wa tabia msafi wa matendo na msafi kwa Mungu,basi hata mwenyezi Mungu atakupa mume alie msafi kama wewe🙏. Ulimi wako mwanamke unaweza kukufanya ukawa mwanamke mwema kwa mumeo na ulimi huo huo unaweza ukakufanya ukawa ni mwanamke usie faa kwa mumeo,ni jinsi gani tu unautumia ulimi wako ndivyo utakavyo kuweka kwa mumeo au mpenzi wako ulienae.
#MadamKasema