Binti wa Bei rahisi ni Yupi?
•Ni yule aliehamia kwa mwanaume bila kufunga ndoa
•Ni yule alie na mahusiano na dozen ya watu na kati ya hao hayupo mwenye mpango wa kumuoa ila anatumika tu kwasababu anahitaji pesa zao!
•Ni yule anaetuma picha za uchi mitandaoni maksudi ili kutega watu na kuwazinisha kwa macho, shetani sio lazima aje akijitambulisha
•Ni yule anaevaa uchi kwa jina LA fashion akionesha maumbile yake mitaani au mitandaoni na kupata likes 1000 na comments 500 zikiwemo "Woow u look beautiful", Woow so lovely, Woow u look sexy na yeye anajibu THANK U,
•Ni yule anaepoteza muda wake na Mme wa MTU wakati hawezi kumuoa, anasababisha mke halali wa ndoa kuachika, Mungu atakushulikia
•Ni yule alie mvivu kujishughulisha hivyo akipata mwanaume hata mwenye umri sawa/zaidi ya baba yake ni sawa tu ili mradi anampa pesa haina shida!
•Ni yule ambae badala ya kushughulisha akili yake na kujipatia japo 500 ya jasho lake badala yake anashughulisha mwili wake kama kitega uchumi!
•Ni yule alitayari kujishusha thamani yake kisa chips kuku, lift ya gari, soda, pizza ooh inasikitisha!
Binti thamani yako ni zaid ya gari, chips, soda au kitu chochote kile dunian maana tulinunuliwa kwa damu ya thamani ya Mungu mwenyewe!
Binti thamani yako ni zaid ya gari, chips, soda au kitu chochote kile dunian maana tulinunuliwa kwa damu ya thamani ya Mungu mwenyewe!