-->

♥️♥️SIFA ZA MKE MTAMU♥️♥️


HAKIKA YA NYUMBA NI MKE,NA MKE NI NYUMBA♥️♥️♥️
♥️♥️ Mwanamke kaa tulia nyumbani kwako jiandae kumsubir mumeo ufurahie NDOA yako
♥️♦️♥️Oga jisafishe vzr pulizia manukato na ujipambe kwa ajili ya mumeo,jipambe upendeze sio upake mirangi mpaka utishe Kama zombie badala ya kupendeza♥️♥️
♥️♥️♥️Vaa nguo za kuvutia sio makanga ya mafumbo utamu utaupunguza mke wewe!!
♦️♦️♥️Kidani shingoni,hereni skioni,bangili mkononi,Pete ya NDOA kidoleni na shanga kiunoni👌👌
♥️♥️ Kitandani pavutie chumbani panukie👌👌
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️Kabla mumeo hajarud Anza kumchokoza kwa mesej nzuur za mahaba ili asichelewe kurud,♥️♥️ukihisi hodi yake anza kumpokea kwa mabusu 💋💋 na jicho la mahaba👁️👁️ tuko pamoja eeh!!🤝
❤️❤️❤️Muulize hali mpe pole kwa uchovu,na bila kuchelewa mpeleke bafuni💞💞💞
♥️♥️♥️Mahanjumati muandalie chakula mlishe huku kijidekesha kwa mahaba💞💞💞mapenzi huashiria kua upo tayar kwa kustarehe👌👌
♥️♥️♥️Tendo la NDOA NI starehe kwa mume na mke hivyo kuweni wabunifu mpate kufurahia Tendo la NDOA
💞💞💞💞💞Itunze NDOA y a ko mume NI zawad kutoka kwa Mungu 🤝🤝♦️
💞💞💞💞💞💞Ukipeleka maji bafuni usiondokeee msugue kwa mahaba 💞 huenda kachoka maji hayafiki mgongoni👌👌wewe NI kazi yako kuhakikisha mumeo anakua Safi na mwenye kukupendezea ww mkewe💞💞💞💞
♥️♥️♥️Kudeka kwa mumeo ni muhimu bibieee!! Usipodeka utadeka kwa Nani?!
💞💞💞Usichoke kuzidisha mahaba 💞 kwa mumeo ili hata akiwa kazini awe anakumbuka kurud nyumbani mapema💞💞💞💞💞💞💞💞
UKIYAPENDA YACHUKUE NA UYAFANYIE KAZI
BY AKHY♥️
UTAMU KITANDANI APP
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU