JUA FAIDA ZA KUMBATIO.
ππππππππ
ππππππππ
Mwanandoa mmoja aliulizwa unajuaje kua mume wako anakupenda sana?
ππππππ
ππππππ
Akasema" Anapenda kunikumbatia mara kwa mara zaidi ya mara sita kwa siku, akiingia akitoka akilala,akiamka ,akiwa na furaha akiwa na huzuni, na kuna mda anaponiona nimetingwa na kazi ananiambia ninatamani kumbatio lako honey wangu,β€οΈβ€οΈ
NAmi ninaacha niliyonayo tunakumbatiana....mara nyingi tunaongea huku tukiwa tumekumbatiana....hili ni jambo linalonifurahisha sana na kuona ni jinsi gani ananipenda pamoja na kua ninapomkwazaπ Hanikumbatii hadi nimuombe radhi ..."
πππππ
πππππ
1.π Kumbatio linastawisha mahaba.π
2. ππKumbatio linamaanisha mmesameheana na kila mmoja yuko radhi na mwenzake.ππ
3π.Kumbatio linamaanisha kufungua ukurasa mpya.ππ
4π.Kumbatio linajenga umoja na mshikamano.ππ
5.πKumbatio linatuliza moyo .π
6.ππ Kumbatio linamfanya kila mmoja ajiskie yuko salama kwenye mikono salama.ππ
7.ππ Kumbatio linaliwaza na kuamsha hisia za upendo wa dhati.ππ
8π.Kumbatio linamfariji mmoja wapo anapokua na huzuni.π
9.πKumbatio ni kuonesha kimatendo kua nyinyi ni kama nafsi moja mwili mmoja.π
10.πKumbatio linajenga ndoa iwe na furaha isiomalizika.π
Usichoke kumkumbatia ikiwezekana na nusuπ mume wako/ mke wako.
πππ
"Kama ulikuwa hujui faida ya kumkumbatia Mume/Mke wako sasa tayari nadhani kushajuwa sasa kama mulikuwa hamna hii tabia nakushauri uwanze sasa.
ππππππ
"Kama ulikuwa hujui faida ya kumkumbatia Mume/Mke wako sasa tayari nadhani kushajuwa sasa kama mulikuwa hamna hii tabia nakushauri uwanze sasa.
ππππππ
Allahu {s.w} Mungu atufanyie wepesi katika hili inshaallah
ππππ
By
adminπ
AKHY
ππππ
By
adminπ
AKHY