
( 2 ) *ZOEZI LA PILI:* * LALA CHALI WEKA MIKONO YOTE SHINGONI INUWA MIGUU KWA MCHORO WA V KAMA VILE UPO LEBAR chora sifur unavyowezi zaidi ya 20 au 100. hapa unachora sifuri kwa kutumia matako, zoezi ili nalo utalifanya kwa siku kadhaa adi uweze na ki uno kilainike ili uwe hodari*
( 3) *ZOEZI LA TATU:* *Zoezi lingine la kufanya ni CHUMA MBOGA HII NDO RAHIS SANA CHORA SIFURI KWA KUTUMIA MATAKO KWA ZAID YA MARA 20 HADI 100 UKIWEZA NA HU NDO MWANZO WA KUJIFUNZA FANYA IVI KILA SIKU UTAONA RAHA NA FAIDA YAKE WAKATI WA KUMPA MUME MAUTAMU KANA UJASKIA BWANA ANAPIGA YOWE SHIKAMOO MKE WANGU!!!KWA UNO ANALOPEWA*
βοΈKumbuka:* *mazoezi ayo matatu, waweza anza moja moja baada ya jingine pale mwanzoni, UKIONA kiuno kimelainika sasa anza kufanya yote kila siku na pia anza kusimama kwenye kiooo uku wajiangalia mtoto ulivo ivaa*..
ποΈ*katika uku wahesabu 1 hadi 100 kwa kutumia kiuno unazungusha kiuno mwisho wa siku kidogo kidogo utajuwa * β¦.. *watu wengi humu nimewafunza kwa mtindo huo wameisha kuwa walimu wa kiuno.* *Kwa leo niishie mazoezi ayo matatu ya mwanzo nitakuja eleza mengine ya maunja zaidi yah kujiweka fiti na hodari!! wanasema uno feni
*MKE CHANGAMKAββ KITANDANI HAIFAI KUKAA KAMA GOGO UPO*
β€οΈπNdoa na IHESHIMIWE NA WATU WOTE π NA MALAZI YAWE SAFI π MAANA WAASHERATI NA WAZINZI MUNGU ATAWAHUKUMIA adhabu (Waebrania 13:4)