-->

JIFUNZE KUJUA PENZI LINALOTOKANA NA UPENDO WA DHATI πŸ’˜ KULIKO KUHADAIKA NA PENZI FAKE JAPO LINAKUPA RAHAπŸ’―


Wengi tunapenda vinavyovutia zaidi kuliko vinavyotokana na HISIAπŸ“
Mahusiano ama ndoa nyingi za Sasa zinatengenezwa kwa MATAMANIO japo wadau wengi hawajui zaidi wanaamini katika kile wanakitaka kikitimia, Mtu ni mbinafsi anahitaji penzi lako kwa faida zake ila nawe unakuwa na TAMAA YA KITU FULANI KWAKE kinachofuata ni:-
πŸ‘‰ ALOTOA PESA BANDIA AMEPEWA DHAHABU BANDIAπŸ˜‚πŸ˜‚
Fahamu kwamba ili PENZI liwe la DHATI πŸ’˜ lazima HISIA zisiwe za kukopa kopaaaa, Kwa nini zisiwe za kukopa?
πŸ‘‰ KAMA MWANAMKE AU MWANAUME AKIKUPENDA KWA UKWELI HAHITAJI KUFUMBA FUMBA MACHO NDIPO AFIKE KILELENIπŸ’―
Wanawake mnahadaika na MAPENZI ya wanaume wanao tumia dawa ili wakawie kumaliza ili wewe upate kusuguliwa gaga ipasavyoπŸ˜‚
Wanaume nanyi Mnahadaika na mnato wa kutengeneza mkidhani ni πŸ‘Œ kumbe hakuna lolote😎
Hakunaga MNATO wala KUCHELEWA kufika kileleni kama HISIA ni za kweli, Mwanamke AKIKUPENDA kwa HISIA hata ukimgusa tu BIBI ANAANZA KULIA MWENYEWE ije kuwa na MHOGO umooooπŸ˜‚
Mwanaume anakudandia nusu saaa wewe umechoka ila hajamaliza halafu unajidai umepata JEMBE kumbe ame-boost Kwa vumbi la Kongo, Hakunaga UFUNDI Kwenye PENZI LA HISIA ni full PAPARA ili kutimiza kitu roho inapenda, Ukitaka kuamini kwamba PENZI LIKUPALO RAHA NI ORIGINAL jifungieni siku 3 asiweke viungo uone uhalisia, wengi wanaojifanya wajuzi Kwenye MAPENZI ni watu wa SHORT TIME 
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria πŸ”¨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU