-->

NGOJA NIKWAMBIE KITU WEWE UNAYETESWA NA MAPENZI

Image may contain: 2 people
Wengi hupenda hesabu zakujumlisha tu kuliko hesabu za kutoa eti wakidhani kujumlisha ni rahisi zaidi ya kutoa, Mimi nijuavyo HESABU KWA UJUMLA WAKE NI NGUMU! Mwanamke analalamika juu ya uhusiano aliopo na hata kumkumbuka Ex Boyfriend wake, Mwanaume anasema ni bora Ex girlfriend wangu kuliko huyu... Kila mmoja anakufa na majuto yake wasipate suruhu ya kwanini wamefikia huko, Mara nyingi watu huondoka katika mahusiano yao ya awali kwa kudhani aendako inaweza ikawa salama kuliko atokako na huku akisahau kuwa BADO ANAMPENDA HUYO ANAYEPANGA KUMUACHA ila tu wameshindwa kufikia muafaka wa kile kimesababisha wakati huo huo hana kipimo kitakacho muwezesha kujuwa huko aendako! Ni bora kuzidi kuwepo ulipopazoea huku ukitengeneza namna ya kuboresha penzi lako kuliko kusema uondoke ukatafute mwingine HUKU UKIJUWA KABISA MOYO NDO WENYE MAMLAKA JUU YA PENZI ni lazima ujutie tu.


 MAUMIVU YA SASA YASIKURUDISHE NYUMA,

LIA YAKUTOKE MOYONI, HALAFU SONGA MBELE

Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU