-->

FANYA HIVI MAHUSIANO NA NDOA YAKO VITAKUWA NA AMANI NA UTAFURAHIA SIKU ZOTE.

No photo description available.
Usione wenzio wanafurahia mahusiano yao ukadhani ni rahisi, Walianzia chini hata kufikia hapo walipofikia, Onyesha UNAMPENDA! Mheshimu na kumthamini... Muda mwingi utumie kufikiria namna ya kumpa furaha, Amani ataipata ikiwa wewe utafanya yale yampayo amani, UPENDO ni kama bustani unatakiwa kuonyesha upendo muda wote, Usiruhusu masaa yakapita bila MAWASILIANO.
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU