-->

Ngoja niseme kidogo tu, kiduchuu tu!


Tatizo kubwa la watafuta wake na waume ni pale unapofikiria kitandani na pesa kila unapomwona msichana au mvulana. Unakuwa kipofu pale unapotathimini uzuri na kufaa kwa mtu kwa kutumia jinsi itakavyokuwa kitandani au utakavyowezeshwa na mipesa yake.
Unapomwona mbele yako hebu jaribu kufikiri:
Je aweza kuwa baba?
Je aweza kuwa mama?
Je aweza kuwa rafiki?
Je anaweza kusimama nami nyakati ngumu?
Je anaweza nishauri?
Je ananivutia?
Je naweza zeeka nikiwa naye?
Sasa wewe unafikiria tu mkivua nguo itakuwaje, anaweza ninunulia gari? hapo ndipo unakosea hapoπŸ˜‚πŸ˜‚
Bila shaka sijakukwaza😳😳😳
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU