-->

♥FURAHA YAKO♥


Image may contain: 1 person, standing
Furaha haiji pasipo kuvumiliana,furaha haipatikani kama kwako kila kitu una kasirika hata kidogo tu wewe ni vitaFuraha haipatikani kama huna moyo wa kusamehe, moyo wa kustirianafuraha hutoipata kama moyoni hauko tayari kubeba mapungufu ya mwenza wako kuna watu wanaishi kwa furaha ila wemebeba mambo mazito ila kwakuwa wana hekima wavumilivu, wanasamehe, hawahesabu mabaya, basi kila gumu kwao huwa jepesi na maisha yanasonga.
Usiishi.kwa kutafuta madhaifu na makosa ya mwenzako uyatumie kama fimbo ya kumchapia.
Kulalamika kila wakati hata kwa mambo yanayohitaji utekelezaji wako nao ni sumu kwa mwenzako kwa sababu atakuchoka na kuona una ghubu.....
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU