Na utamu wa Mwanamke anapokuwa amekupa mwili wake😎
TATIZO NI NINI?
Tatizo ni TAMAA YA WANAUME ndo imewagharimu wanawake wengi ama nao Kwa haja zao za ki mwili au ni kujaribisha KUMPATA MWENZA WA MAISHA😭😭
Kwa sababu Mwanamke ambaye ataumia leo juu ya MAPENZI akikutana na Mwanaume mwingine kesho na akamuumiza hawezi kubeba hasira kwa anae kuja baada ya MAUMIVU ALIYOPITIA laa kama Mwanaume huyo nae utaonyesha udhaifu kama wawaliomtangulia.
Huyo ndiye Bin adam pekee ajuaye kutofautisha MAKOSA YA KI BIN ADAM tofauti na Mwanaume, Ni vile wanaume hawajui THAMANI YA MIILI YAO ndo maana hawaoni shida kuonewa utupu wake ila kwa Mwanamke ni GHARAMA KUBWA IKIWA ATAMVULIA MWANAUME AMBAYE HANA MALENGO NAE😭😭
Wala tatizo sio "KUDINYANA" Kwani ndani yake mna starehe hivyo ukila ukasepa ila ujue nae amekukula😅 maana yake ngoma droo labda kama ulikamia ulipovuliwa chuupi tu ukafafanulia juu juu hata hukufika kwenye G maana yake UMEMUACHA kilimani wala kileleni hakufika😅😅
Tatizo la KUVUA NGUO hilo ndilo ambalo hugharimu UTU WA MWANAMKE YEYOTE MAKINI hasa aijuaye THAMANI YAKE.
Kupitia MHEMKO WA KI MWILI ni ngumu sana kukabiliana na USHAWISHI wa Wanaume ila nijuavyo Mimi;
"MWANAMKE ANAWEZA KUZIENDESHA HISIA ZAKE AMA ZIWAKE AMA ZIZIME"
Basi ikikupendeza ijue AIBU YA KUONYESHA MWILI WAKO KWA KILA MWANAUME kama ukizidiwa ni Bora kujiepusha na mawazo hayo huku ukimngojea ambaye ameandikwa kwa ajili yako, huyo atasimama nawe kuilinda AHADI.
#Elista_Kasema_ila_Sio_She