-->

MKEO ANACHEPUKA YAWEZEKANA UNAFANYA HAYA/NA KAMA UNAFANYA HAYA HACHEPUKI BASI JUA UNATENGENEZA MAZINGIRA YA YEYE KUCHEPUKA


Kwamba wanaume wengi wanajikuta hawana muda na wake zao, ni dhahiri kuwa mwanamke muda wote anahitaji upendo, muda, faraja na furaha kutoka kwa mwanaume , hasa mwanamke anapokuwa nyumbani, sasa wanaume wengi tunakuwa busy na kazi, tukitoka kazini tunaenda kupata moja moto moja baridi na washkaji hatuna muda wa kurudi home, tukirudi it's late tumechoka kesho tena hivyo hivyo eti tunasema muda wa kukaa na wake zetu ni jumamosi na jumapili we are damn wrong tunawapa Siku 2 tu wake zetu na tunatumia almost 5 days bila ya kuwa na wake zetu, hili ni kosa kubwa sana tunafanya, inatakiwa tujitahidi sana tutumie muda mwingi kukaa na wake zetu majumbani baada ya kuwa tukitoka kazini, jambo ambapo wanaume wengi hatulifanyi
Sasa ukute wake zetu yupo kwenye magroup mbalimbali huko anakutana na mabaharia mbalimbali, viserengeti boy mbalimbali wanamchekesha, wanamsifia, and all that, nani hapo ni mume wa mwanamke huyo wewe au wale wa kwenye groups...?? Obviously ni wale wa kwenye groups wanaokuwa nae like most of the time so ni lazima kuwe na muda wa kukaa na mke wako most of the time, leo watachat, kesho watacheka, kesho kutwa watakutana for the lunch, kesho kutwa watakutana for the drink taratibu mkeo anatengeneza hisia na yule jamaa, jamaa kesho yake atatekenya tu imooooo, sasa ni jukumu Letu wanaume kuwa karibu na wake zetu tuwape muda na upended.
HOW??
Look here ukitoka kazini nenda nyumbani, hakuna haja ya kupita la Chaz, sijui beach kidimbwi au samaki samaki sioni kama ina faida sana, kama mnywaji pitia vinywaji kwenye mini market nenda home kaa na wife na watoto, tengeneza activities ambazo zitawafanya mpo busy kati ya wife na watoto, simamieni homework za watoto wenu, usimwache Mama kwamba ndio kila kitu, baada ya chakula stream movie Netflix wewe na mke watoto wakiwa wamelala piga stories etc tengeneza home kwako ndio ikawa sehemu ya faraja kwako na kwa mke, ukitenga muda like this utapunguza asilimia kubwa ya mwanamke kukucheat na kutengeneza hisia na mwanaume mwingine, jaribu kumpigia wife hata once unapokuwa kazini it helps alot trust me
KUSALITIWA
Hapa ndio shida kubwa, wanawake wengi wanalia kusalitiwa na wapenzi wao, trust me ukimsaliti mkeo unampa kidonda kikubwa sana moyoni, mnoo wengine wanaenda mbali wanawazalisha hadi wanawake wanaochepuka nao, wengine wanaenda mbali wanawajengea nyumba, kuwanunulia magari, Viwanja, kuwafungulia biashara, retaliation ya mwanamke kukusaliti iwapo ukimsaliti ni kubwa mno
STORY YA KWELI
Kuna story ya kweli ambayo imetokea mtaani kwangu kuna jamaa mmoja jirani yeti amekuwa anamsaliti Mkewe sana mbaya zaidi anamsaliti hadi na mabinti wa mtaani kiasi kwamba mkewe akipita wanakonyezana na kucheka, sasa basi mkewe alivyojua hivyo kaona ya nini na yeye kaanza kuwa anagawa kwa vijana wadogo wa mtaani yaani, yaani wanajiburuzia tu yaani kwamba mwamba akipita madogo wanamchora tu na yeye it's very bad situation aisee
So the thing here ni kuzuia kuchepuka like let's try not to cheat our wives..
HOW?
As long as tukimaliza mihangaiko yetu kazini let's go straight home to stay with our families na tujitahidi sana hata tukitoka kwenda kwenye bata twende na wake zetu am sure kila mwanaume mkewe ndio mwanamke mzuri kuliko wote duniani that's why ulimuoa so be proud with her toka nae out ile hela ambayo ungeitumia katika kutumia na mchepuko hebu ITUMIE KU MU UPGRADE MKEO halafu uone so let's avoid cheating ambazo hazina msingi, tujaribu kuwekeza kila kitu kwa wake zetu pamoja na familia zetu, usimpe mkeo nafasi ya kutengeneza hisia na mwanaume mwingine kwa hasira pindi akikufumania, ni mambo yanayozuilika so tamaa za mwili zisisababishe tukavunja upendo baina yetu mpaka kufikia hali ya kuchapiwa!!muda mwimgine mwanaume kuchapiwa tunajitakia!!u dnt hve time with ur wife uko busy na mambo yako then unadhan nini kitatokea!!kibonde kila siku naongea kuwa woman needs time/akishakuwa mkeo anahitaji muda wako zaidi ya pesa zako bro!!badilika!!!!!!Mi naandika sana hapa naonekana naimba taarabu ila ipo siku utanishukuru.#kibonde
@kibonde
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU