-->

HABARI YA HIVI PUNDE NIMEACHWA RASMI. Na sababu nafikiri ni zile zile

HABARI YA HIVI PUNDE
NIMEACHWA RASMI. Na sababu nafikiri ni zile zile
1. Lack of capital eg. Nilishindwa kumpa ya salon
2. Low wages
3. Natural calamities eg. Disease like corona
4. Poor tecnology eg. Sina iphone
5. Poor government support eg. Sina mkopo
6. Unemployment
Mwamvuli Hauwezi Kuzuia Mvua Ila Unatukinga Tusinyeshewe.. Hivyo Ndivyo Pia Kujiamini Hakuwezi Kuzuia Matatizo Ila Kunafanya Matatizo Yasitudhuru hadi Yatapoisha!
Kumbukumbu ninayokumbuka ni ile ninayokumbuka.hebu tukumbuke hii kumbukumbu wote
Jifunze kuwa na furaha isiyo na chanzo kutoka kwa mtu hiyo huwa ni ya muda mfupi isipokuwa tu uruhusu Mungu awe chanzo cha furaha yako.
Jifunze kuwa ni Mungu pekee huwa habadiliki Ila mwanadamu kamwe usimshikie dhamana kwa suala la mabadiliko,.
Jifunze kujipenda na kufurahia kuwa wewe na kuishi katika uwepo wako hiyo itakupa upekee na kukutofautisha na wengine.
Jifunze kuwa na misimamo ya maisha panga mikakati ya vile unatamani kuwa na kamwe usitake kuwa kwa sababu ya anayetaka uwe ikiwa hana msaada wowote kwako wa maana.
Ikumbuke Jana yako iwe Mwalimu wa kutosha kuitengeneza kesho yako,kamwe usimruhusu mtu kuitumia jana yako kukuumiza nayo na kuifanya kama marejeleo (refference).
Jiambie mwenyewe maneno ya ushindi kuwa wewe ni hodari, jasiri, unaweza na ni mshindi n.k...!!!
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU