zifuatazo ni baadhi ya sababu kwanini mabinti wengi wanashindwa KUOLEWA..?
πVIGEZO VISIVYO NA MSINGI.
πΉKuweka vigezo vingi na kuchagua chagua sana wanaume inaweza ikawa ni sababu ya kufanya mabinti wengi wasiolewe.
πΉKuweka vigezo vingi na kuchagua chagua sana wanaume inaweza ikawa ni sababu ya kufanya mabinti wengi wasiolewe.
πΉBinti unakuta anataka mwanaume awe amesoma, mrefu, handsome boy, mrembo wa sura anavaa vizuri awe na hela gari nyumba au kupando cha moto sijui awe na kazi nzur, awe na upendo wa kweli, na mambo mengi kama hayo.
πΉWanaume wanaokidhi vigezo hivyo ni wachache sana na kimsingi inawezekana wasiwepo kabisa. Mwisho hujikuta umri unaenda bila ya kuolewa au kuangukia kwenye mikono ya Wanaume ambao ni matapeli wa mapenzi.
πΉkuna msemo usemao, "ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu" na mwingine ufananao na huo unaosema "mchagua nazi hupata koloma".
πNAMNA UNAVYOJIWEKA.
πΉJinsi unavyojiweka ndivyo watu watakavyokuchukulia. Mavazi unayovaa, marafiki ulionao na hata tabia yako kwa ujumla.
πΉJinsi unavyojiweka ndivyo watu watakavyokuchukulia. Mavazi unayovaa, marafiki ulionao na hata tabia yako kwa ujumla.
πΉMabinti wengi wanafeli sana kwenye eneo la mavazi, mavazi ya kuacha maungio ya ndani wazi yanawashushia heshima mabinti wengi sana bila wao kujua, wengi wanaona kama wanaenda na wakati lakini wanajidhalilisha.
πΉHakuna mwanaume anayependa kuoa mwanamke asiyejiheshimu, kama yupo basi hatakuwa si muaoji. Mwanaume gani anayependa kutembea na mkewe akiwa maziwa yapo wazi yananing'inia kama yanataka kuanguka?
Sketi fupi mapaja yote yapo wazi na tena ina mpasua? Suruali imembana mpaka maumbile ya ndani, michirizi ya nguo ya ndani inaonekana?
πΉSidhani kama kuna mwanaume anayependa mwanamke ambaye mwili wake ni maonyesho ya saba saba, Sidhani kama kuna mwanaume anayependa kuwa na mwanamke ambaye hata nyumbani kwao hana ujasiri wa kumpeleka. Sidhani kama kuna mwanaume anayependa kuwa na mwanamke ambaye starehe yake ya usiku na Mali yake ipo wazi kwa marafiki zake na watu kama Mali ya umma.
πΉNiwasaidie dada zangu,ukivaa mavazi ya ajabu ajabu utavutia Wanaume wa kulala na wewe na kukuacha na kukuchezea tu si waoaji, utakuwa ni kiburudisho cha usiku mmoja na si mwanamke wa maisha.
πMANENO UNAYOJITAMKIA.
πΉVijana wengi wamekuwa na desturi ya kujisemea maneno ya laana bila kujua yana madhara gani katika maisha yao.
πΉVijana wengi wamekuwa na desturi ya kujisemea maneno ya laana bila kujua yana madhara gani katika maisha yao.
πΉUtakuta Binti kwa sababu aliumizwa na kijana fulani basi, anasema Wanaume wote ni wale wale, sijui siku hizi Hakuna waowaji, mara Wanaume wote ni waongo, baba mmoja na mama mmoja.
πΉSikia nikuambie, kinywa chako kina uwezo wa kuumba. Kila neno baya au zuri unalojitamkia ndivyo litakuwa kwako.
πΉKama Unasema Wanaume wote ni waongo basi usishangae Kila mwanaume atakayekuja kwako akiwa muongo. Kama Unasema sina shida ya kuolewa basi miaka 30 itakukuta ukiwa nyumbani kwa baba yako. Chunga kinywa Chako.
πKUTOKUSHUKA.
πΉUtii ni tatizo kwa mabinti wengi sana wa sasa. Wengi hawakubali kushuka, hawataki Kuongozwa wanataka kujiongoza wenyewe.
πΉKumtii mume wanaona kama ni jambo la kizamani, wanaita mfumo dume hivyo wanataka kuishi katika mfumo Jike.

πΉNapenda kusema wasichana wengi vazi la Suruali limeathiri mpaka fikra zao, hata akili zao pia zimevaa Suruali.
πΉBinti Hakuna mwanaume anayependa kuwa na mke ambaye si msikivu (jike dume), kama hautaki Kuongozwa basi wewe ni mwanaume sasa unataka mwanaume wa nini?
πΉMwenyezi mungu anasema hakika mwanaume ni kiongozi mbele ya mwanamke.
πΉBinti kaa kwenye nafasi yako. Jivike kiremba cha Hekima na Utii.
πΉBinti kaa kwenye nafasi yako. Jivike kiremba cha Hekima na Utii.
πMAAGANO ULIYOWEKA HUKO NYUMA.
πΉKama kuna mtu mliahidiana kuwa mtaona halafu kwa sababu zisizo na msingi ukamuacha, basi hii inaweza ikawa ni moja ya sababu ya kukufungia baraka yako na rizki ya ndoa.
πΉKama kuna mtu mliahidiana kuwa mtaona halafu kwa sababu zisizo na msingi ukamuacha, basi hii inaweza ikawa ni moja ya sababu ya kukufungia baraka yako na rizki ya ndoa.
πΉKama kuna mtu ana nung'unika kwa ajili yako, kama kuna mtu ana lia kwa ajili yako huu unaweza ukawa mwiba kwako usiifikie ndoa au ukaifikia lakini isiwe salama.
πΉKama kuna watu ulishindwa kutimiza ahadi uliyowaahidi unatakiwa kutubu dhambi hiyo na kutengeneza nao kwa kuwaomba msamaha ili usiwe na vifungo vinavyokuzuia.
πΉKama kuna watu ulishindwa kutimiza ahadi uliyowaahidi unatakiwa kutubu dhambi hiyo na kutengeneza nao kwa kuwaomba msamaha ili usiwe na vifungo vinavyokuzuia.
πKUKOSA MSIMAMO.
πΉMabinti wengi sasa hawana msimamo linapokuja swala la kujizuia kufanya mapenzi.
πΉNimewafanyia counselling mabinti wengi na zaidi ya 80% kama si 90% wanalalamika kuumizwa na wapenzi wao.
πΉMabinti wengi sasa hawana msimamo linapokuja swala la kujizuia kufanya mapenzi.
πΉNimewafanyia counselling mabinti wengi na zaidi ya 80% kama si 90% wanalalamika kuumizwa na wapenzi wao.
Ninapowauliza kama walishafanya sex karibu wote wanajibu NDIO.
πΉKama mwanaume umeshampa mwili wako ni nini tena atakachokihitaji kutoka kwako?
πΉKama mwanaume umeshampa mwili wako ni nini tena atakachokihitaji kutoka kwako?
Kama ameshakula sebuleni kuna haja gani ya kuingia Jikoni? Hahahaa.
πΉUkivua Sketi yako kabla ya ndoa, usitegemee kuvaa gauni (shela) la ndoa. Duh? Hatariiii.
πROHO CHAFU.
πΉZipo roho chafu (mapepo) zinazoweza kumfunga mtu asioe au kuolewa. Kuna wengine wamefunga ndoa za kipepo na majini mahaba na kuota wanafanya mapenzi na wanaume wasiowafahamu.
πΉZipo roho chafu (mapepo) zinazoweza kumfunga mtu asioe au kuolewa. Kuna wengine wamefunga ndoa za kipepo na majini mahaba na kuota wanafanya mapenzi na wanaume wasiowafahamu.
πΉPia zipo roho zinazofuatilia ukoo toka kizazi hadi kizazi wasiingie kwenye ndoa. Unakuta watoto wa familia fulani wote hawajaoa au kuolewa wamezaa wakiwa nyumbani au wakiolewa ndoa hazidumu.
πΉHapa duwa inahitajika kuepukana na roho hizo za majini mahaba.
πΉHapa duwa inahitajika kuepukana na roho hizo za majini mahaba.
π SAMBAZA UJUMBE HUU KWA KILA MTU ILI WAZIJUWE.
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦.
HIZO NI BAADHI YA SABABU YA KWANINI MABINTI WENGI HAWAOLEWI.
JICHUNGUZE NI WAPI UNAKOSEA NA UFANYE UAMUZI WA KUBADILISHA KOSA HILO
β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦.
HIZO NI BAADHI YA SABABU YA KWANINI MABINTI WENGI HAWAOLEWI.
JICHUNGUZE NI WAPI UNAKOSEA NA UFANYE UAMUZI WA KUBADILISHA KOSA HILO