MAPENZI SI KWA
BURUDANI.
▪MAPENZI NI
MUUNGANIKO WA NAFSI.
Ni nafsi ngapi za wanaume/ Mwanamke ulizonazo ndani yako?
Kila mtu unaelala nae anaacha sehem yake ndani yako.
Baadhi yetu tunafikiri mapenzi ni burudani lakini mapenzi nje ya ndoa ni sanduku📦 kubwa ambalo halifikikiriki,
MAPEPO yanayoambukizwa kwa ngono sio kitu cha mchezo ni magumu kuyakwepa zaidi ya magonjwa YASIYO NA TIBA.
Muunganiko wa nafsi unanguvu zaidi ya ufikiriavyo.
Mwenza sahihi kwako atakuombea na sio kukuchezea.
Mwanamke tambuwa Mungu alikuumba ili ulindwe na mmeo pamoja na kupewa FURAHA.
Na mapenzi yanakufanya uhisi umeolewa, hata kama sivyo kwa sababu umeumbwa kuishi kwa AMANI na ili uwe na AMANI yakupasa kuwa na Mwanaume sahihi, Mapenzi ni muunganiko wa nafsi sababu ya mahusiano wakati wa tendo na hapo ndipo DUNIA🌎 INAZUNGURUKA.
Ulishajiuliza jinsi nafsi yako inavyoonekana kwa Mungu kwa namna ambavyo umeibebesha wanaume?
Mapenzi yanafanywa zaidi kwa mwili kuliko macho yako yanavyoona ndo maana ili ukimbie mitego ya wanaume ni kujitenga na kuwatazama.
Uwe makini na nani na kipi ambacho macho yako yataungana nae kwamba ukiishakuwa umempata Basi FUNGA MACHO NA MASIKIO YAKO ili hazina ya HISIA zako isiwake ikakuingiza kwenye UZINZI.
Picha hii imenigusa, Imeniita nikutazamishe naomba Ifikirie.
Sema AMINA na changia na wengine sababu kwa kufanya hivyo kutasaidia NAFSI za WALIOJERUHIWA bila ridhaa zao👏
#Elista_Kasema_ila_Sio_She