-->

JE MCHUMBA NI NANI?

Image may contain: 2 people, people sitting and outdoor
Mchumba ni Mtu ambaye anatoka upande mwingine na kuja upande wako kwa jambo moja tu;
"KUJENGA UMOJA WENYE MSHIKAMANO KABLA YA NDOA"
Huyo ndiye MCHUMBA.
Je ni njia gani itatumika kumfanya MCHUMBA APATIKANE?
Mchumba hapangwi atapatikana lini bali ni MATENDO YA NGUVU ZA MUNGU ndo maana wachumba wanaotokana na MIHEMKO YA TABIA MWILI HAWADUMU na zaidi huacha majeraha na mahangaiko ya ki nafsi, Umoja na Muungano ambao nauzungumzia ni ule ambao MKONO WA MUNGU UMO NDANI YAKE kinyume chake ni matarajio ya UKOMAVU BAADA YA MAJUTO.
Wako wachumba wamejificha makanisani/misikitini, Wengine wanapatikana kwenye ujilani mwema, Na Kuna ambao unawajua tangu CHEKECHEA haimaanishi kwamba ndiyo ambao wana hakika ya kutokugeuka, Hayo yanabaki kuwa sehemu ya UBIN ADAM ila kama MUNGU ameweka mkono wake MCHUMBA ANAWEZA KUWA MAHALA USIPOPATARAJIA kikubwa ni awe yeye ambaye ULIMUOMBA KWA MUNGU
Kuna wakati uhitaji ukichelewa Mtu unajikuta unasema YEYOTE ATAKAYEKUJA HUYO NDIYO NITAAMBATANA NAE unajidanganya, Wa kwako akija na kukukuta uliishakuwa wa mwingine ITAKUGHARIMU ni bora kukawia lakini ukiisha kumpata UFURAHIE na kumtaja MUNGU ya kwamba AMETENDA.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU