-->

MAPENZI MAZURI YENYE KUUFURAHISHA MOYO NA NAFSI KUTULIA YANA GHARAMA;

Image may contain: 2 people
Sina maana ya gharama ya MALI🏀🚁 ama VITUπŸš’πŸš— bali ni Mtu kutekeleza matakwa ya mwenza wake, na kuhakikisha kwamba MUDA, KUWAJIBIKA, AHADI pamoja na yale yote yanayofanana na hayo, Mapenzi ni HAZINA YA NAFSI ndo maana palipo na PENDO LA DHATI Moyo hutulia, Mapenzi ni kama MCHOROπŸ“ kwamba unatafuta uhalisia, Huwezi kufurahia MAPENZI ikiwa hupewi MUDA wa kutosha kulingana na mahitaji yako kwenye penzi husika, Huwezi kufurahia MAPENZI kama mwenza wako HAWAJIBIKI kulingana na uhitaji wako, Ni ngumu kuona uko mahala salama kama AHADI zilizokuvutia mpaka ukakubari kuingia kwenye penzi lake ikiwa hazikutimizwa, Ninapozungumzia GHARAMA nagusa matendo mazito kama vile;
 HURUMA.
 KUSHIRIKI.
Usijidanganye kwamba UNAPOKUWA UMESHIRIKI TENDO LA NDOA ndo MSINGI wa UPENDO🚫
Hiyo ni starehe, kwa maana hiyo tofautisha STAREHE NA UPENDO Kwani MAPENZI yaliyotawaliwa na STAREHE hayo ni MAFU kwa sababu starehe zinapita na kusahaulika lakini UPENDO UNADUMUπŸ’ͺ
Ukipewa HURUMA umeikomboa NAFSI yako, Ukipewa USHIRIKA umeunenepesha MOYO wako, Na hiyo ndo maana ya GHARAMA YA MAPENZI.
Wengi wamekuwa waoga kugharamia MAPENZI kwa kivuli cha neno NAKUPENDA huku wakijua kwamba hilo ni neno tu, DUNIA ya sasa walau kumpata Mtu akaweza kukupa HURUMA yake ni kama kwenda machimbo yaliyofukiwa kutafuta DHAHABUπŸ’Ž
Mbaya zaidi ni pale unapojaribu kuwa na Mtu lakini hawezi KUSHIRIKI nawe hapo ndipo MAANA YA MAPENZI HUKOSEKANA kwa sababu Mtu huyo hataki GHARAMA YA MAPENZIπŸ’Œ
Wengi wao wamejikita kwenye ulevi wa MANENO wakiamini wanaweza kuyalinda MAPENZI yao, Ni kweli unaweza kulinda MAPENZI yako kwa mtazamo huo ikiwa na upande wa pili mtazamo ni kama wako, Hakuna Mtu mwenye akili timamu anaweza kufurahia UONGO kuliko UKWELI
Jikomboe kukataa Mtu ambaye yeye hayupo tayari KUGHARAMIA MAPENZI YAKO
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU