-->

USIFURAHI KUPEWA NAFASI NA MTU ALIYE MUACHA AMPENDAYE MAANA HUJUI KILICHOMFANYA AKUPE NAFASI WEWE💯


Mara nyingi MAHUSIANO ama NDOA inayotokana na FARAJA hutoweka kama upepo, Moyo hauwi na DAWA bali unahitaji MAJIBU YA KILE KILICHOSABABISHA UKAUMIA📍
Huna mbadala wa hitaji la MOYO WAKO ila unahitaji Muda zaidi kuufanya MOYO wako ukubari kilichotokea, Wengi tunapoona mambo hayaendani kama tulivyotarajiaa ama tunayotaka Mara moja tunawaza UPONYAJI😂
Uponyaji unaotokana na HASIRA ama MALIPIZI saa zingine hata KUKATA TAMAA hauwezi kuleta UKOMBOZI WA KILE KILICHOKUFANYA KUMUACHA💯
Kabla ya kufikiria kumuacha nenda mbali zaidi ki FIKRA uwaze nafasi ya mtu huyo ndani ya MOYO wako, ndipo uweze kuamua sahihi, Wengi tunaamua kwa PUPA kwa kuangalia tunavyohitajika kwa wengine badala ya kuangalia HITAJI LA NAFSI📍
Umepewa nafasi na mtu lakini kila ukimuangalia unaona bado ANAWEWESEKA KWA X WAKE usijiamini Sana japo unaweza kufanya mapinduzi kwa kuwekeza katika UPENDO 💘
Hofu yangu kwa hilo ni:-
👉 UNAIJUA NGUVU YA X WA MTU WAKO HUYO?
Hakuna hasara duniani kama PENZI LA MPITO kwani wewe utawekeza upendo ukiamini umepata ila ukibwagwa UTAJUTAAAAA😂😂
Pengine kila Mmoja ana wake haijalishi ni kwa kiwango gani cha UPENDO 💘 ila tayari anae mwenza, Utajuaje kama hajabeba Mtu MOYONI Mwake:-
👉 AKUPE UHURU.
👉 ASIWE MSIRI.
👉 AWE WAZI KWAKO.
👉 AWE TAYARI KUBADILI ALIYOZOEA.
Hapo unaweza kupata hakika japo kwa 75% kwamba umeweza kuingia ndani ya moyo wake💯
Kinyume cha hapo HAKUNA PENZI ENDELEVU HAPOOO upo kutoa FARAJA na Pengine wewe ndo utasababisha WARUDIANE NA X kwani unampa AMANI kusahau aliyoumizwa nayo😂😂
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU