-->

EPUKA KUFANYA MAMBO HAYA KWA MPENZI WAKO


Unapokuwa na mpenzi wako katika mahusiano, epuka sana kufanya vitu vya aina hii ambavyo vitasababisha mahusiano yenu kufa
1. KUANZA KUCHELEWA KUTOKA KAZINI MARA KWA MARA
Sio kwamba kila mtu anapochelewa kutoka kazini basi anakuwa sio mwaminifu, lakini zaidi ya asilimia 75 (kutoka kwenye tafiti) ya ambao wamekuwa na mahusiano nje wamekuwa wakitoa visingizio vinavyohusiana na kazi, vikao, mikutano na safari za kikazi, yamkini wewe ni shahidi wa hili
2. MAZINGIRA TATANISHI YA SIMU
Ghafla simu zinaanza kumiminika mpaka mida ya usiku. Yamkin pia alikuwa yuko huru hata simu yake inapolia waweza ichukua na kumpatia lakini gafla anakuwa na hofu kubwa na kuificha simu yake, nimeongea na wengine ambao wanakwenda na simu hadi bafuni isije ikasikika.
Wengine wanaondoa milio katika simu zao wakati haikuwa kawaida yao, kuweka (password) ngumu hadi mwenyewe anashindwa kuikumbuka, wako ambao simu zao zikipigwa hawawez kupokea na kuongea kwa uhuru kama kawaida, ataondoka na kujitenga pembeni akijifanya anaongea kiuaminifu kabisa
3. HARUFU AMBAZO HAJAZIZOEA
Kwa kuwa wapendanao huwa wamezoeana, mara nyingi hata aina ya manukato mmoja anayotumia yanakuwa yanajulikana kwa mwenzake, Sasa hembu fikir unamkuta mpenz wako ametokea na ana harufu ya tofauti kabisa na uliyoizoea, umeisikia harufu hiyo akiwa amerudi toka kazini wakat asubuhi alipoondoka alikuwa na harufu ile uliyoizoea
4.TABIA ZA KUANZA KUFUATILIA SANA AU HATA KUKUGANDA
Wapo wanaotawapeleka wapenz wao kila wanakotaka, nakutoruhusu mazingira ya wapenzi hawa wakike kuwa huru kufanya mambo yao wenyewe, wengine waliitafsiri hali hii kama penzi kubwa lakini baada ya muda unagundua kuwa ile ilikuwa ni ujanja wa kuficha uhalisi wake na kuzuia mazingira kwa mpenzi wake kugundua au kupewa taarifa ya tabia zake
5. KUZUNGUMZA SENTENSI ZA KUTATANISHA
Unaweza kukuta katika mapenzi yenu mpenz wako anaanza kuwa na sentensi ngumu na zisizo kuwa na msingi kwa mfano anasema “kwa jinsi hii sidhani kama tutafika” “mi siamini kama mapenzi yanadumu” “yani ndio maana watu wanashindwa kukaa na mpenzi mmoja” na maranyingine anaweza kukuuliza baadhi ya maswali moja kwa moja ili kukuona utajibuje. Sentensi hizi zina chanzo moyoni, kuwa macho
6. TABIA ZA KUFICHA FEDHA
Hii utaiona ghafla mpenz wakeo anaanza kuwa na siri kuhusu fedha zake au matumiz yake, na wala hapend kuulizwa ulizwa kuhusu suala hilo.
Tabia hii ikidhihirika katika mapenz yenu usichelewe kuchunguza
Ni hayo tu naweka nukta .
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU