-->

*MANENO MAZURI YA KUMPANDISHA HISIA MPENZI WAKO KABLA YA TENDO*

UTAMU KITANDANI APP
_Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia..._
_Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi..._
_Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi..._
_Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano; Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love"_
_Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo... nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu mashambulizi, nina uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa nafasi yake.......!_
_Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu_...
Mtu mwenye tatizo la ndoa njo inbox
Tito Emman
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU