💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
*Achana na maneno ya watu wasiojua thamani ya mume ambao hudiriki kusema: atajijua akitaka atasema na mimi asipotaka aache mimi nd’o mkewe.”*
*kasoro nyigine ni kwamba wapo wanawake hutaka kuishi kwa mashindano na wanaume zao*
*nawaombeni kinamama msifanye hivyo, mwanamke akiwa kiguu na njia, aibu yake ni kubwa zaidi ya mwanaume*
*uchafu wako, utamfanya yeye aonekane msafi wakati ukweli naye hajatulia*