-->

KWENYE MAISHA UNATAKIWA UJIWEKEE MISINGI AMABYO WENGINE LAZIMA WAIFUATE AU WASIIVUNJE...SOMA ZAIDI UTAELEWA

TAMBUA
Mlango wa NDEGE haufungiliwi ovyo kama ule wa DALA DALA hata maji ya MTO yapikita hayawezi kurud nyuma yaliko toka. Ukiona mambo hayaend sawa usirud nyuma songa mbele
Katika maisha yako nawe unapaswa ujiwekee misingi ambayo watu wengine waifuate au wasiivunje. Usiwe mtu wa kupelekeshwa tu huna hata hoja ,kila utalo ambiwa unalifanyia kaz hata kama baya kwako
Mpiganie mtu ambae nae ana onesha nia ya kuendelea kuwa Katibu nawe awe RAFIK,NDUGU au MPENZI. Muthamin mtu ambae nae anatambua thaman yako kwake.
Kwa nini uhangaike kumpigania mtu ambae nae yupo anae mpigania?
Kwa nini wiki,mwez we ndo wa kumpigia simu au SMS kumsalimia lakin yeye hana huo mda?. Sio kwamba hawez kukutafuta,ila thaman yako kwake ndogo hivyo yupo bize na watu anao waona ni bora kwake.
Muthamin rafik yako,ndugu yako,mwenza wako ambae amekuona we mtu sahihi kwake bila kujal tofaut ya kipato au elimu yenu.
Usiwe kama unajipendekeza kwa mtu kisa tu ana pesa,kaz nzur,handsome,mrembo,mali nyingi.
Mthamin mtu na sio vitu
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU