
Mambo yanapokuwa yamekuzidi kwa kuwazia jambo moja lisilo na majibu sahihi ila majibu ya MATUMAINI ujue kwamba NI MWANZO WA KUKATA TAMAAππΏββ
Kuruhusu MAMBO au Mtu aende kwa sababu mitazamo yenu imekinzana HAIMAANISHI KWAMBA UMEMCHOKA KUMJALIβ
Bali ni hali ya kutoona ufumbuzi wa tatizo lenu, Maana inaweza kuwa mwenzio alikuja kwako kwa MAPITO YAKE ila wewe uliamini yeye ndiye, Naijua akili ina tabia ya kuuvuluga MOYOπ€Έββ
Na hapo ndipo utapata maana ya wewe kuchoka kwamba UMEMLAZIMISHA SANA KUKUJALI WEWE na muda mwingine ulimlazimisha awepo lakini ukumbuke ALIKUJA KWAKO KWA MAPITO YAKEπ
Katika hayo hupashwi kuangalia ama kujiuliza MATESO utakayopitia asipokuwepo, Maana mwenzio sio kama ataumia kuwa mbali nawe laa hasha KWAKE ITAKUWA NI KUVUNJIKA KWA PAKACHA NAFUU YA MCHUKUZIππΏββ
Ni Bora ukajikumbusha FURAHA uliyoikosa kipindi ambacho mlikuwa pamoja, Huku ukiziangalia jitihada zile ulifanya kumpa yeye FURAHA NA AMANIππ»ββ
Tafakari yale yote uliyafanya kwa upendo mkubwa, Jikumbushe zile nyakati ambazo yeye alihitaji uwepo wako nawe ulitokea bila MASHARTIππ»ββ
Jiulize ujenzi wako wa PENZI kwake jinsi ulivyoweza kumfanya ajione ni Mtu lakini ulipompa mgongo aliyafuta yote na kuendelea na mtazamo wake kwako kwamba WEWE NI WA MPITOπ
Najua inauma sana but HUWEZI KUSHINDANA NA AKILI PAMOJA NA MOYO WA MTU maana hivyo viko sirini mwake, Mwenzio anajua afanyalo kwako ila wewe unaamini katika POROJO zake unadhani unaweza kushindana na mtu mwenye mtu ampendaye ila hawaendani ki FIKRAπ€·π½ββ
Mwache aende Kwani hujawa MTUMWA kwenye NAFSI yako mwenyewe, Jipe ujasili kwamba huko kabla yake HAKUWEPO lakini ulikuwa HAPPY japo ulitamani mtu kama yeye, Sasa kama haikuwa ridhiki kumbe wewe UNANG'ANG'ANIA NINIπ€·π½ββ
Wa kwako yupo, Amini kwamba huyo hakuwa wako ila alikuwa wa mwingine, Mwachie mwenye Mali na wewe nenda kwa aliyeandikwa kuwa wakoπ€πΌ
Siku hizi usifuate misemo ya waliotutangulia kwamba "KIACHE KIENDE KAMA HAKIKURUDI HAKIKUMAANISHWA KUWA CHAKO ILA KIKIRUDI KILIMAANISHWA KUWA CHAKO"
Kuna maradhi rafiki yangu lakini pia DUNIA INA MENGI ukikiacha KIACHE KIENDE na usifikirie kikurudie maana UTAJITAABISHA kulazimisha kitu kigumuππ»ββ