-->

NAOMBA NIAZIME SIKIO NA AKILI YAKO KIDOGO

Image may contain: one or more people, people standing and outdoor

Mbuzi 🐐huchunga machungoni akiwa kafungwa kamba, Lakini Mbuzi 🐐akikata kamba hudhurula akitafuta majani mabichi🏞 Mbuzi🐐 ni mwingi wa FADHILA maana anajua kuna wakati akinona ataliwa, Basi Mbuzi 🐐huyo akisaza hurejea ilipo kamba na akiona aliyemfunga hatokei hurudi liliko zizi lake, Lakini ukimtafuta mbuzi🐐 wako ukamkosa na ukalala bila kumuona ujue ANA MAZIZI MAWILI🤣Je unajua liliko zizi jingine🤷🏽‍♂ Kama unajua fuatilia kwanini AMEHAMA ZIZI LAKO ila ninacho kijua ni kwamba KUNA TOFAUTI YA MAJANI kwamba ama wewe unampa machungo yenye majani makavu na kwingine kuna machungo yenye majani mabichi😋 Ukiona Mbuzi🐐 anakuzingua MTAFUTIE SIKUKUU na umgeuzie KIBRA! Mle nyama🍖 uongeze AFYA💪🏽
Usijitafutie stress kwa MANENO YA KANGA👘
Wenzio wako kwenye biashara, Angalia wapi unatoka🏃‍♀
Na wapi unakwenda💃
Mimi nimemzungumzia MBUZI🐐 sasa wewe ukipaniki shauli lako mazee😅😅😅
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU