-->

Wakati DUNIA ikitambuwa THAMANI YA MWANAMKE wapo wanaume mpaka leo hawajajua MWANAMKE HASA NI NANI🀷🏽‍♂

Image result for mapenzi wakubwa
Wakati huo unakuta Mwanaume huyo ni MROMA Yaani anajua kwamba BIKRA MARIAM NI MAMA WA YESU NA KILA AKIINGIA KANISANI KUNA SALA MAALUMU KWA AJILI YA KUMUOMBEA BIKRA MARIAM
Wakati Mwanaume akimtesa mkewe na kumnyima haki zake za ki bin adam Mwanaume huyo ANAPAMBANA KUMSOMESHA BINTI YAKE ILI AJE KUMKOMBOA KESHO wala asikumbuke kwamba mkewe ndiye aliyemzaa mtoto yule, Wakati Mwanaume akiendelea kumkandamiza Mwanamke asiweze kuinuka kuwa Mtu mwenye FURAHA NA AMANI lakini Mkewe ndiye ajuaye dhiki na MATATIZO ya nyumbani kwao kuliko Mtu mwingine, Wakati Mwanaume akiendelea na kujitanabaisha kwa kumdhibiti Mwanamke kwa MFUMO dume BADO MWANAMKE ANASIMAMA KAMA MAMA KWA WATOTO WAKE! Huyo ndo Mwanamke bin adam TOLEO la pili maana yake LILIPEWA UBORA KULIKO BIN ADAM TOLEO LA KWANZAπŸ’ƒ
Aliumbwa Mwana Mume lakini MUNGU akayaona mapungufu kwa kichwa cha ADAM... Unadhani Kwanini Adam alipunguziwa nguvu kupitia ubavu wake ili apatikane Mwana Mke? Usijidanganye kwamba MUNGU HAKUWA NA UDONGO WA KUUMBA MWANA MKE ila kwa hali iliyopo tu Wanaume kumuona Mwana Mke kama chombo chao cha MATUMIZI YA MISURI basi Mwenyezi MUNGU akaona isiwe shida akapunguza ukakasi huo wa Mwana Mume ili akitoa TOLEO NAMBA MBILI Yaani Mwana Mke "HAWA" walau kuwe na hali ya UBIN ADAMπŸ˜‚
Lakini iko shida Wanaume wamesimamia misimamo ya kumuona Mwana Mke kama Mtu ambaye anatakiwa kuishi kwa furaha yenye MIPAKAπŸ˜‡
Wakati huo huo Wanaume hao hao kwa sasa Wanamtazama Mwana mke kama NJIA YA MAFANIKIO YAOπŸ™†πŸΏ‍♂
Mwana Mke ni BARAKA ULIWENGUNI maana yeye ndiye hujenga Familia pamoja na kuongeza bin adam vinginevyo HATA YESU ANGESHUHSWA TOKA MBINGUNI WHY ALIPITIA KWENYE TUMBO LA MWANAMKE?
Aliyemheshimu Mwanamke AMEBARIKIWAπŸ™‹πŸ»‍♂
Kila Mwana Mume aliyejua THAMANI YA MWANAMKE ndani yake aliongezewa NEEMA... Leo ikiwa ni siku ya Mwana Mke nitamke neno la SHUKRANI kwa Mama mzaa Elista! Mama kokote uliko natambuwa kwamba BILA HURUMA YAKO NISINGEKUWEPO DUNIA😭
Hata ninapokuwa natazamwa na wengine kwa jicho la UPENDO lakini nikiri kunyonya ziwa lako likawa ndala huko ndiko kulinipa kuwa na AFYAπŸ’ͺ🏽
Asante Mwana Mke shujaa uliyenibeba tumboni mwako miezi kibao ndebile si ndebile ama muda ukapitiliza lakini ulijipa ujasili ELISTA AIONE DUNIA😭
Niungane na ULIMWENGU pamoja na WANAUME WENYE HEKIMA KUKUBARI KWAMBA MWANAMKE NI MAISHA YA MWANAUME no matter what HAIWEZI kubadilika ikawa sio hivyo, Tuwaheshimu WANAWAKE ILI DUNIA IBARIKIWE!
Happy Mother's DayπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria😎
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU