-->

MWANAUME JIFUNZE JINSI YA KUJUA HITAJI LA MWANAMKE WAKO (UJUE KITU GANI MWANAMKE WAKO ANATAKA BILA YEYE KUKWAMBIA)

Image may contain: one or more people, people sitting, bedroom and indoor


Tega sikio Mwanaume upate kunisikiza japo uweze kujua HITAJI LA MWANAMKE... Kwanza kabisa ondoa mentality kwamba MWANAMKE NI KAMA CHOMBO CHA MWANAUME pengine ilikuwa hvyo huko enzi za akina MFALME SELEMANI walipoweza kumiliki wanawake 30 kwa wakati mmoja lakini wanawake hao walikubari kuolewa kwa mwanaume mwenye mke kwa maana moja AMEJIRIDHISHA ANAPENDWA... Mwanaume wa zamani alimhudmia mke/wake zake hata Mwanamke aliweza kuona hana haja ya kelele kwani alipata sitahiki ya mahitaji yake, kwani Leo Wewe Mwanaume unamuoa Mwanamke kwa ahadi ya UPENDO MPAKA KUFA lakini akiisha kuwa mkeo UNAMZALISHA NA KUMUACHIA MAJUKUMU YOTE yaani akutunze wewe, atunze familia, atunze mtoto kama sio watoto, Na bado utataka na KODI YA NYUMBA AKULIPIE ama kama mna ujenzi yeye ndo ajenge BADO UNAHITAJI HESHIMA YA MKE? Niamini wanawake wanahitaji MAISHA YENYE KUWAPA AMANI na sio kila siku kulipua Moyo wake, Mapenzi ni FURAHA... Wengi wetu wanaume tumekuwa na MAPENZI ya simu kama sio kupigiwa na Mwanamke huwezi kuwasiliana nae, Kama hujaona ujumbe wa msg huwezi kujua Mwenza wako anaendeleaje🤷🏽‍♂
Mwanamke hahitaji MAWASILIANO tu bali MWANAMKE makini SHAUKU yake kwa Mwanaume ni kuona MWANAUME NI MJENGAJI WA MIPANGO KWA AJILI YA MAISHA YAO💪🏽
Ukisubiri Mwanamke ndo apange mipango na yeye ndo atekeleze kisa anao uwezo wa kuyatekeleza hayo TARAJIA KUWA MWANAUME NA SIO MUME... Heshima ya Mwanaume kwa MWANAMKE NI pale Mwanaume anapokuwa MUME🙋🏻‍♂
Ukijiheshimu UTAHESHIMIWA! Ukithamini UTATHAMINIWA... Lakini ukijitoa ATAJITOA💃
Mheshimu Mwanamke kwa maana moja tu NI MKE WAKO na ukishindwa wewe ujue wajuao kuwa Mwanamke wako ana vigezo vya MKE watatamani kumpata awe wao✌🏼
Na hapo ndipo utabaini kwamba ULIKOSA UFAHAMU JUU YA KUPATA HAKIKA YA KILE ULICHO NACHO maana wengi wetu uwapo na kitu huwezi kuijua THAMANI YAKE ila kikitoweka kitaacha GAPE ambalo huwezi kupata mbadala wa kuziba GAPE hilo
Chukuwa hatua kuenenda na uhalisia wa MWENZA WAKO ukishindwa hivyo UTAMFANYA AVUNJIKE MOYO... Upendo mwingi Una mabaya mengi pindi MOYO UKIVUNJIKA AMA KUKATA TAMAA.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU