-->

KWANINI USIKURUPUKE KUZAA HATA KAMA UKO KWENYE NDOA?

Image may contain: 1 person, sitting and close-up
Maisha ya leo yanasomeka kwa kuona, lakini maisha ya kesho ni kitendawili, Jiulize ni wanaume wangapi wanaweza KUACHIWA WATOTO NA MWANAMKE NA WAKAWEZA KUSIMAMA KWA NAFASI MBILI YAANI BABA NA MAMA? Ninapo zungumzia nafasi mbili namaanisha kwamba;
Nafasi ya BABA ni kwenye utekelezaji wa mahitaji kwa familia yake.
Nafasi ya MAMA ni usimamizi wa malezi kwa wanae.
Hayo ndo yanaijenga maana ya NDOA... Wanawake walio wengi wanakimbilia NDOA ili wapate watoto bila kujua JE MTOTO ATAKUWA NA BABA? Maana swala la kuzaa linahitaji maandalio ya KI MTAZAMO NA KI UHALISIA! Itakufaa nini kama unafikiria kupata mtoto na wala hujui kama huyo Mwanaume atampenda mtoto wako? Wanaume wengi wametelekeza watoto wao na wala hawajui kama Mwanamke anapitia magumu katika malezi, Ujinga wa Mwanamke unakuja pale anapoamini kwamba "NINA KAZI AMA KIPATO CHA KUMUDU KUMTUNZA MTOTO WANGU BILA KUMTEGEMEA MWANAUME"
Yaani uzae na ujinasibu kwamba MWANAUME SIO WA MAANA KISA UNA HAKIKA YA KUJIKIMU🤷🏽‍♂
Kwanza ujue MTOTO ANAPOKUJA DUNIANI ANAHITAJI MAPENZI YA BABA NA MAMA sasa wewe kama ulikurupuka na ukaja kubaini ulikosea njia na Mtoto amekosa UPENDO WA BABA mwambie MUNGU awe BABA wa mtoto Kwani huwezi tena kuwa na MARKET
Tayari ushakosa ile nafasi ya uhitaji wa mwanaume kwa Mwanamke, Wanaume walio wengi wanampenda Mwanamke "FRESH" Yaani ambaye hajazaa japo wapo ambao hilo sio big issue😋
Uonapo uhitaji wa MUME unakupanda kwa kasi RUHUSU AKILI IPAMBANUE MAZINGIRA kuliko kuamini HAJA YA MOYO WAKO... Kuna shida kuchukuwa maamuzi bila kuitegemea akili maana moyo una maamuzi ya pupa
Japo akili nayo ukiitanguliza mbele bila kujua haja ya MOYO unaweza kusababisha ukosefu wa UTULIVU😂
Mpe nafasi Mwanaume awe BABA WA watoto wako kwa kuwa na hakika ya kwamba ATAKUWEPO WAKATI WA KUITAFUTA MIMBA, ATAKUWEPO KWENYE UKUAJI WA MIMBA, NA UKIISHA JIFUNGUA ATAKUWEPO, Lakini kwenye MALEZI ya Mtoto atakuwepo! Hakuna furaha kama kulea mtoto ukiwa na BABA BORA💪🏽
Ole wako ukutane na BORA BABA utajutia na usijue THAMANI KUZAA🤰🏼
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU