-->

Ni rahisi Mwanaume kumpata Mwanamke anaye mhitaji kwa vigezo vyote, ila ni ngumu ...!!!

Image may contain: 2 people, people smiling

Ni rahisi Mwanaume kumpata Mwanamke anaye mhitaji kwa vigezo vyote, ila ni ngumu Mwanamke kumpata Mwanaume anaye mhitaji kwa vigezo vyote😭
Sababu ni moja tu:
KILA MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME MWENYE UPENDO WA DHATI... Hivyo Mwanaume anapokwenda kwa Mwanamke akiwa amejipanga kumpa upendo wa dhati MWANAMKE HATA AKIWA HAMPENDI MWANAUME HUYO ATAJIKUTA AMEMPENDA! Kwa hiyo unapata jibu kwamba Wanaume ndo wamesababisha Mwanamke kukosa UHAKIKA WA UPENDO KWA MWANAUME na hilo limekuwa tatizo sugu kwa uhalisia ama kwa mtazamo, Mwanamke hata akijinasibu vipi kuchagua Mwanaume bado anakuwa hana hakika ya JE ATANIPENDA🤷🏽‍♂
Ndo maana maandiko yanasema "MWANAMKE MPUMBAVU HUBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE"
Maana ya ujumbe huu ni wazi kwamba;
MWANAMKE AKIPEWA UPENDO WA DHATI NA MWANAUME HANA BUDI KUSHIKAMANA KWENYE PENZI HILO💘
Kwani wanaume kwa uhalisia HAWANA UPENDO ila wamejaaliwa TAMAA😭
Na hapo utagundua kwamba Mwanaume anaweza kumpata Mwanamke na akawa MKE ila ni rehema ya MUNGU kwa Mwanamke kumpata Mwanaume akawa MUME🙆🏿‍♂
Upendo wa MWANAUME unaota kwa MWANAMKE yeyote, Ila ni ngumu MWANAMKE KUMPENDA MWANAUME YEYOTE! Maana hesabu ya kugawanya UPENDO ni rahisi kwa Mwanaume, Ila Mwanamke hawezi hesabu ya kugawanya UPENDO ndo maana kila Mwanamke analia juu ya UPENDO wala huwezi kumkuta Mwanamke analilia Mali laaa kama yuko ki masrahi
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 💉
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU