
Mwanamke ni FURAHA YA MWANAUME kwani uwapo na Mwanake aliye jaa AMANI hakika atakufanya uwe mwenye MATUMAINIπͺπ½
Hata kama mambo hayakwenda ipasavyo kati uhitaji wako nina hakika likipenya neno lilo na UPENDO kutoka kwa MWANAMKE AJUAYE KUUPA PUMZIKO UBONGO WAKO WALLAH UTALALA USINGIZI MOROROππ» Kumbuka Mwanamke ni MAMA kwa kila kiumbe chini ya jua hili, Ukimfanya Mwanamke kuwa MAMA kwako utalelewa na kupewa upendo stahiki, Lakini unapo mbeza Mwanamke na kudhoofisha MOYO wake tarajia kuona NGUVU YA UCHUNGU WA UZAZIπ
Huwezi kumpa MANYANYASO MWANAMKE halafu ukalilia HESHIMAβ Tambua heshima inatokana na UPENDO uliompa mtu awaye yeyote, Lakini nikufundishe ka neno kadogo ila ndiko katakako kupa CREDIT kwa mwandani wako;
Hawa viumbe ni wadhaifu mno ukimjulia namna ya kuendana nae USHINDI UTAKAO UPATA KWAKE niamini utapewa HESHIMA ambayo hata ukipewa UTEUZI NA BROTHER JOHN huwezi kuifikia HESHIMA ya Mwanamkeπ
Wajua Kwanini nasema hivyo?
Mwanamke anajenga MOYO na kukupa ARI ya kupambania maisha yako, Nakuhakikishia kwamba UKIMPENDA MWANAMKE UMECHAGUA FUNGU JEMAπ