
Kumtafuta mke mwema siku hizi hawapatikani Kirahisi⛔
Ila Kwa njia moja tu;
Umtafute aliye kwa mwanaume asiejua thamani wala umuhimu wa kuwa nae ππ.....!!
Vinginevyo wa kuzindua mwenyewe NI NGUMU KUMEZAπ€£π€£
Maana mpaka akajue wewe ni wa THAMANI na uko katika ubora wa MUME MWENYE HEKIMA wallah UTAPATA TAABU SANAπ€πΌ
Kila jambo zuri linahitaji KUELIMISHWA lakini pia MAFUNZO YA VITENDO SIO KWA WATOTO WA KINDERGARTEN peke yake aka "VIDUDU"
Bali hata vyuo vikuu Kuna PRACTICE NA THEORY sasa wewe nenda kajibebee Mwari na hajui VITENDO VYA MAPENZI utarudi kunililia na wala nisikunyamazisheπ
Mwache acheze kidogoπ aruke kamba, ukuti na TIYARI BADOOOOπ
Wallah akija kwako UNAWEZA KUMREKIBISHA KIDOGO MKAENDANAπͺπ½
Ila kama ndo unataka NEW BRAND ILIYO NA SEALπ
Utasubiri sana kuona UMUHIMU WA MWANAMKE mara zote nitakusikia ukilalama kama kondoo wa shambaππ»♂
Upinzani haukomei michezoni tu⛔
Hata kwenye MAPENZI uwapo na mpinzani HAPO NDIPO UTAJULIKANA UMUHIMU WAKOπ€£π€£
Gombania goliπ₯ mpirani, Lakini GOMBANIA MAPENZIπ« hiyo ndiyo huibua MSHINDI WA HAKIKAπ€πΌ
Ukikosa mpinzani UTATAKA KUSHINDIA NINI ATIIIπ€·π½♂
Raha ya NGOMAπ₯ upate wasaidizi, Wataka kucheza peke yako Kwani we MWANGAπΉ
Pambana na hali yako Mazeeπ€
Mimi nasema UTAPIGWA KIPIGO CHA MBWA KOKOπ
Halafu nije kukucheka kwa DHARAUUUUπ€£π€£
Kinachotazamwa na wengi hicho ndicho kilicho na UZURIπ
La kuvunda halina UBANIπ₯’
Panic at your own RISKπΈ