
Wakati huo Mwanaume anapokuwa amemuona Mwanamke huwazia UBORA WA MWANAMKE ATAKAPOKUWA AMEVUA NGUO👫
Na hapo ndipo utaijua tofauti ya MWANAUME NA MWANAMKE KATIKA KUHITAJIANA! Ndo maana ni rahisi sana Mwanamke KUWATUNZA WATOTO "Familia 👪" kuliko Mwanaume kwa sababu MWANAMKE AMETAZAMA MWENDELEZO na MWANAUME AMEFIKIRIA MPITO... Pamoja na mitazamo kuwa tofauti lakini hata HURUMA IKITAWALA IMEWAPONYA.
Japo kwenye MAHUSIANO YA SASA ni rahisi kupokea MAKWAZO kuliko kumpata Mtu wa kusikia HURUMA JUU YAKO kwa sababu UPENDO umewekwa kwenye MIFUKO yaani uwapo na kitu walau unaweza kupendwa kwa NYAKATI ukajiona uko mahala salama, ila ukitaka kujua Kwamba MAHUSIANO NI MWIBA AMBAO UKIKUCHOMA UNAOZESHA NYAMA UINGIE PENZINI KICHWA KICHWA NA MWENZIO AKUCHUKULIE POA MBONA UTAJIFUKIA KABURINI UKIWA HAI! Tengeneza njia IMARA kuyafuata MAHUSIANO YALIYO IMARA kuliko kuwaza namna ya KUWA NA MTU ili usiwe mpweke⛔
MAPENZI ni matamu ikiwa utampata Mtu ajuaye MAANA YA MAPENZI💝
#Elista_Kasema_ila_Sio_She