-->

Makosa yaliyoko kwenye siri hubaki kuwa TESO LA ALIYEKOSEA😇

Image may contain: one or more people, people standing and close-up

Lakini makosa hayo yakifichuka HUWATESA WOTE yaani mkosaji na aliyekosewa😭 INAUMA na inahudhunisha🙇🏻‍♂ lakini mhanga wa makosa hayo ni MKOSAJI maana swali lake kichwani ni moja tu; "KWANINI NILIKOSEA?" Hakuna majuto yashindayo mtu kujutia KUMKOSEA MTU KWA KULIPIZA AMA KWA KUJARIBU KUWEKA UWIANO KATIKA MWENENDO WA MAHUSIANO YAO😭
Bora ukatenda kosa kwa ujinga wako kuliko KUKOSEA KWA KUPANGA inakutesa wewe wakati uliyemkosea yeye ATAKUSAMEHE ili kutimiza adhima ya moyo wake na kuweka historia ya UPENDO kwamba ni kipimo cha UPENDO ikiwa atasamehe, Kosa jingine litesalo ni pale mtu anaposhindwa KUSAHAU UBAYA ALOTENDEWA maana huko ndiko huzaliwa HASIRA NA CHUKI mwisho wake ni kufubaza PENZI🙆🏿‍♂ Bila kuwa makini na kuzingatia UHUSIANO WAO ni wazi kwamba KINGO YA PENZI LAO iko MOTROO🔥🔥🔥
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU