1. Usipende kupita kiasi
2. Usipende usipopendwa
3. Mpende mtu kama alivyo
4. Ukimpenda mtu penda na ndugu zake hata kama wanakasoro.
Ongezea na za kwako unazozifahamu.
2. Usipende usipopendwa
3. Mpende mtu kama alivyo
4. Ukimpenda mtu penda na ndugu zake hata kama wanakasoro.
Ongezea na za kwako unazozifahamu.
TAKE IT OR LEAVE IT.
1. Huwezi Pendwa na watu Wote
2. Huwezi m'badilisha Mwanadamu aloamua kukuchukia kwa hiyari yake.
3. Sio wate wakuchekeao usoni wanakupenda
4. Adui yako hatoki mbali
5. Si Kila mtu wa karibu kwako Ni rafiki yako