Ukitaka furahia mahusiano bas kuwa na mtu ambae umeridhika nae mtu ambae ana kuheshimu na mtu ambae ana thamin uwepo wako ktk maisha yake..
Epuka kumlilia mtu ambae hana shida na wewe et kisa tu labda ni MZUR sana au ana PESA sana... Acha kujitesa moyo wako kwa mtu ambae ameonesha wazi kuwa hakupend au ana mtu mwingine.
Kumbuka kuwa
Kulazimisha mtu akupende ni kujitafutia maumivu... Hata kama bado una mpenda ila kama yeye ameamua kuachana nawe bas muache aende... Huwez kufa kisa kuachana nae... Kumbuka uliwah achwa au kuacha kabla ya kukutana nae... Hivyo nae utaumia kesho utamsahau na maisha yataendelea.
Epuka kumuacha mtu kwa sababu ya tamaa ya Mali na PESA... Yaan umepata mtu ambae ana pesa na yupo tayar kukuudumia kwa kila kitu.. Pesa itakupa mavaz mazur na utakula vizur ila haiwez nunua FURAHA yako... Ukitanguliza pesa mbele huwez mpenda huyo mtu ila utapenda pesa zake
Usimpende mtu sababu ya tamaa ya NGONO... Yaan KAKA una msalit Mkeo au mpenz wako kisa kuna Mwanamke mwenye mwonekano mzur kuzid mtu wako...
Kumbuka wazur wapo wengi huwez wamaliza.. Utajuta kumpoteza mwanamke au mwanaume anae kufaa sababu ya tamaa zako za Ngono na pesa
Mthamin anae kupenda
Anae kusikiliza
Anae kuheshimu
Anae kushaur
Anae kufarij
Anae kusikiliza
Anae kuheshimu
Anae kushaur
Anae kufarij
Mengine ni ziada tu..